Hivi kuwa na shugadad au shugamami ni fashion cku hz?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Habari wanathnker ni muda mrefu ckuwepo online hii ni kutokana na kufight kwa hali ngumu ya maisha. 2ache hlo leo nimeona 2saidiane suala hil kwa hv sasa naona kama ni fashion kwa watu weng kuwa na mashuga dad au mami katka mahusiano. Mana nilipanda gal kulikuwa na wanafunz wanashindana kutajiana majina na kuwapgia simu hao wa2 wao.Asilimia kubwa nilioiona ni wanafunzi kuwa na mahusiano ya kimapenz na wa2 walio wazid umri mara 5 hivi hii inasababishwa na nini? Na je nini ufumbuzi wake? Hebu 2saidiane kuhusu hl
 
Sio fashion ni NJIA YA MAISHA!Alafu jifunze matumizi ya r..ni gari na sio gal!

sawa jombaa! Ila ninashukuru umenisoma lakn cc wengne 2natoka kule kilimanjaro kwahyo co kosa ye2
 
Duh! Walivyokuwa wanatajiana majina hapo hapo ukajua kuwa umri wao ni mara 5 ya hao wanafunzi!!
Sio fashen ni kaushamba fulani hv.
Libabu lishajichokea uangaike nalo la nini! Aaaggr...
 
Duh! Walivyokuwa wanatajiana majina hapo hapo ukajua kuwa umri wao ni mara 5 ya hao wanafunzi!!
Sio fashen ni kaushamba fulani hv.
Libabu lishajichokea uangaike nalo la nini! Aaaggr...

The old pot makes better soup (or: The old broom sweeps cleaner/The old wine tastes better).

Kosea uende kwa "Libabu" uone kama utawataka tena vijana.
 
dada mmoja aliwah kuniambia "wazee ndo wenyewe, yan mkikutana unampapasa papasa anaridhika anakuachia na mshiko lakini vijana ni balaa, lazma apate kitu cha nguvu".......sasa mi nahisi ni njia tu ya kuchuna bila jasho
 
Wanaangalia wallet...
Hembu we fikiria
mtu mzee,manyama yana dondoka
na mfuko umekauka
We unadhani kuna binti ambae atamfuata kweli?

Lakini uwe na kitu kidogo mfukoni
mmmhh
Haya yote ni ajili ya mshiko..
si dhani kama ni fashion maana ilikuwepo kwa muda..
 
bana ni mfumo wa life tu sa tufanyeje! Mi mwenyewe kuna sugarmaza mmoja hivi jirani na home alianza leta zile hizi nini!nini mara kabaa nkajaa king wkt huo nlikuwa 3rd yr chuo dah alikuwa ananitoa kimtindo boom likikata sina wasi kanihudumia mbaya uzuri wake alikuwa hana wivu ili mradi akinihitaji nipatikane, afualikuwa anajali sana yani care ya ukweli sio hivi videmu vyetu mara vinaleta kibesi ingawa alikuwa amenizidi alikuwa ananiheshimu sana hata nikikosea ananielekeza kwa upole. Sa fikiria mkwanja navuta, gemu napewa, na bado narespect napata kuna raha ka hiyo. Ingawa sa hv siko naye ila hata kazi ni yeye kaniunganishia kwan nlikuwa cmjui yeyote ye ndo kafanya mambo hata kudrive ni yeye kanifundisha kwa gari yake. So samtym hawa masukari mama wanasaidia sana vijana na kumbuka wanafanya hivi wengine sababu ujanani hawakupata hivi vitu au waume zao wanazingua na wao ni binadamu wanahitaji so msiwachukulie negative
 
2po pamoja..
 
Kwa wanafunz kutembea na watu wazima,ni tamaa na waziache maramoja maana kunamaradhi mengi na wao huzitumia pesa zao kuwaangamiza wengi.ila kwa upande wa kina sisi hao wazee ndio hutuliza mioyo vizuri maana vichenchede na masharobaro huumiza mioyo sana.wazee wanajua kubembeleza,hawakupi stres,sio vijana kila siku roho inapaa mapepe kibaoo.
 
kumbe nimejua kinachosababisha weng kutembea na mashugadad au mami ni tamaa au kutaka kupata PESA NA STAREHE ndogo ndogo na je wote 2kifanya hv 2tajua nan ni mkubwa au mdogo kwako? Mana wale wanafunz walikuwa wanapga simu na saut iliyokuwa ikiongea ndo nilijua wale ni wa2 wazma wenzangu na isitoshe kila aliekuwa anaongea nae anamwambia nipo kazin je. Huo ni kwawanafunz je wanachuo inakuwaje mana mpk sasa ninaona imekuwa fashen mana kama hauna shuga dad au mam huna maisha na 2kiendekeza haya kwel 2co OWA na KUOLEWA watakuja kuowa na kuolewa kwel? Hebu 2liangalie hl kwa vzur kabisa
 
The old pot makes better soup (or: The old broom sweeps cleaner/The old wine tastes better).

Kosea uende kwa "Libabu" uone kama utawataka tena vijana.

aka niende kwa libabu kwani vijana wenzangu wameisha? Hilo libabu ujana wake limekula na nani cjui uzee amalizie kwangu. Akaaa!
 
Back
Top Bottom