Hivi kutongoza ni kipaji?

MIE HUWA TUNATONGOZANA HASA TUKIWA TUNAPATA MTINDI (BEER) BAADAE MNAJIKUTA MNACHAKACHUANA TU:becky::becky::becky:
 
Kwani bado unafua kofuli za wmandani wako?
Kipawa ni kipaji cha uwezo wa ajabu wenye kuweza kufanya mambo kiimani, kama kuhubiri, uponyaji, kunena kwa lugha etc, something to do with imani.

Kipaji ni uwezo wa kufanya jambo kwa umahiri mkubwa bila efforts za ziada, yaani nature, kama kuimba, uchoraji, kuigiza, kutunga mashairi, kuongea, kupiga hadithi, kuwa mwanamichezo bora, etc etc.

Matumizi sahihi ya vipawa, ni mafanikio katika kumtumikia Mungu na pia kufanikiwa kimaisha. Matumizi mabaya ya vipawa, ni kwenye ulozi, wanga, uchawi, ramli etc na kumtumikia shetani, ikumbukwe wazuri na wabaya ni hayo hayo.
 
Ukimuuliza demu, unataka nikupatie nini siku tukikutana? Akikujibu niandalie pombe za kunywa! Ushamaliza kazi kaka!
 
Kutongoza ni kipaji mpwa! hasa kwa hayo maneno yake mshikaji mi nimekufeel, nataka hicho, hiyo kali, mwanamke akikukubalia kwa utongozaji huo basi ni changudoa. unahitaji mazoezi na elimu.
 
wizi mtupu,siku zote ng"ombe anayelia ndio anapewa majan,sio kipaji bst jitaidi kulia upew majani
 
kwahiyo wanaume wengi mna kipaji kinachofanana kwa kujua kutongoza??!!..

count me out,...
Ila naamini kutongoza ni jinsi 'mtu' anavyoyatamka maneno badala ya anavyoyasema.
"People may not remember what you said, but they will always remember how you made them feel"
 
kwa mtazamo wangu kutongoza sio kipaji kabisa, sababu zipo nyingi:

1. hata asiye na akiri timamu kama kichaa naye anazaa, hii inamaanisha kitendo
hiki hakihitaji utaalamu wowote.

2. watoto wadogo wasiojua chochote ukiwafungia kwenye chumba kwa muda kidogo
tu unawakuta wamefanya jambo hili, nani kawafundisha au wameona wapi??

3. mwanamke asipotongozwa kwa muda mrefu huchanganyikiwa, mwanaume naye
asipopata hata mwezi tu huugua.......

ukitaka kuelewa jambo hili halihitaji utaalamu, tafuta mwanamke na mwanaume wenye
umri wa kufanya mambo ya wakubwa wasiopendana kabisa, wafungie ndani kwa miezi miwili tu, hata kama walikuwa hawapendani vipi, mwanamke mbaya vipi, mwaume mbaya vipi watafanya mambo haya. Vuta tu subila utashangaa unatembea na mwanamke bila ya kumtamkia hata neno moja.....
 
teh....teh......teh......umeniacha hoi sana nmaduhu, sasa itabidi wanawake wa hapa JF watujuze kama ni kweli hapo kwenye red colour.

Lakini pia lazima ukumbuke kuwa kutongoza si mpaka utamke maneno, hata kwa ishara tu inatosha.Fikiria kwa mabubu inakuwaje?
 
Ukipangilia maneno ya kusema katika kutongoza utagonga mwamba....! Let nature take place....!
 
HAHAHA! wengine humu ni mabikira wa kume hata kutogoza hawajawahi! maneno mengi tu! akiwa na washakaji ohh mimi na monica ndo vile... "haya monica anakatiza kitaani msalimie basi kama demu wako? mdomo unajaa mate:becky:!! nimekaa sana na watu wa aina hiyo! PUGU BOYS! ENZI HIZO!
 
count me out,...
Ila naamini kutongoza ni jinsi 'mtu' anavyoyatamka maneno badala ya anavyoyasema.
"People may not remember what you said, but they will always remember how you made them feel"

Umewahi kutokewa?unalichukuliaje na hilo?
Kuna wanaume wanatamka maneno matamu kumbe yote ni google mpaka unacheka kimoyo moyo mana full uongo hata kama wanaume wengi sana sio waaminifu ila inakuwa tu machi!!..
Ila naona siku hizi wawili wakiconnect unakuta mapenzi yameanza au mabinti nao wanarusha ndoano fasta!!..ila hii mie naogopa, ukiambiwa no sijui unajificha wapi lol!!!..
 
Back
Top Bottom