Hivi kutongoza ni kipaji?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu). Lakini nilikuwa nashangaa kuna jamaa zangu wao ilikuwa easy kweli yani mkikutana na demu, akitoa tu salamu tayari inakuwa na mwelekeo wa kutongoza na akitaka kumtongoza basi inakuwa kirahisiiiiiiii. Ila mi ilikuwa ngumu aisee...

Ila kwa sasa nashukuru nimegundua mbinu... siumizi kichwa... ni pasi moja ndefu hadi golini... Yaani nikimtaka demu ni kumsalimia kisha naenda moja kwa moja to the point ...aisee Mshiki nimekufeel sana natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... Then from there inabaki tu kusisitiza maana nimeshatamka shida yangu.

Ila mi naona kutongoza ni kipaji aisee...
 
Kama kutongoza kwako ndiyo huko basi bado una safari ndefu katika kuwa mtaalam wa kutongoza.
 
Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu). Lakini nilikuwa nashangaa kuna jamaa zangu wao ilikuwa easy kweli yani mkikutana na demu, akitoa tu salamu tayari inakuwa na mwelekeo wa kutongoza na akitaka kumtongoza basi inakuwa kirahisiiiiiiii. Ila mi ilikuwa ngumu aisee...

Ila kwa sasa nashukuru nimegundua mbinu... siumizi kichwa... ni pasi moja ndefu hadi golini... Yaani nikimtaka demu ni kumsalimia kisha naenda moja kwa moja to the point ...aisee Mshiki nimekufeel sana natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... Then from there inabaki tu kusisitiza maana nimeshatamka shida yangu.

Ila mi naona kutongoza ni kipaji aisee...

OMG!
Dont turn the hands of my age-counter anticlockwise!
Haya mambo mi niliyafanya kizamani zaidi, hata sijui siku hizi mnatongozaje!...Lakini nina vijana jirani na kwangu wakimwambia msichana."MAMBO?...Sasa inakuwaje?", ndo wanakuwa washamaliza khabari yote!...huh!
Hakuna ufundi hapo, sifa ni ujue kuongea..basi!
 
Wote mmechemka jamani na mie mwanamke nawashinda. siku hizi hakuna kutongoza, kaa kwenye gari hata ya kuazima vaa suti au nguo zenye majina basi umekwaa wadada enzi zetu bwana ukiona mwanaume yuleeee mbio kuelekea nyumbani kam ani mtoni mpaka usindikizwe. kweli utandawazi upo

Ila sasa kuna kasheshe moja kwamba siku hizi hakuna usumbufu kwenye kupata hayo mambo. tayari kuna wale wanaofanya bishara yao wewe ukiwa na dola zako huulizi unashika mkono tu.
 
Siyo kila mtu anawataka hao wanaojirengesha, kwanza inawezekana kabisa wanasambaza umeme. Wengine tunafurahia kufukuzia wenyewe kama kuku wa kienyeji vile. Na ukishashinda basi furaha tele.
 
OMG!
Dont turn the hands of my age-counter anticlockwise!
Haya mambo mi niliyafanya kizamani zaidi, hata sijui siku hizi mnatongozaje!...Lakini nina vijana jirani na kwangu wakimwambia msichana."MAMBO?...Sasa inakuwaje?", ndo wanakuwa washamaliza khabari yote!...huh!
Hakuna ufundi hapo, sifa ni ujue kuongea..basi!

hahaha PJ yaani salam tu inazua mambo kweli maisha yanaenda yakibadilika siku hadi siku
 
hahahaaa! hii ya leo kiboko!!
Siku hizi hakuna kuongea, unasema twende tukanywe bia moja, unamwambia nitakupitia, then straight gesti hausi..bia mnainywea kitandani...hakuna kusema kitu, mnakunywa mnamegana, kila mtu anaenda kwake satisfied!!
 
aaalaah kumbe duh una kismati sana yaelekea au una dawa za kimasai ambazo zamani tulikuwa tunajipaka na ma-manzi wanajitongozesha wenyewe

Huwaga wananizimia tu...wanasemaga eti niko handsome na nina umbo zuri....
 
Kwa wanaojua vitabu, hivi baba yetu Adamu alimtongozaje mama yetu Hawa/Eva vile? Pengine hakuna mabadiliko makubwa tangu enzi hizo.
 
me napenda tongoza ya kikurya ipo so simple atamnunulia bamedi bia bila makubaliano anakwambia kunywa anasubiri mpaka ukimaliza kazi anakwambia twende ss kataa uone kivumbi nimeshuudia live 3 ivi kama kuna watani zangu wakurya mnisamehe nimewakilisha
 
Hivi kweli siku hizi kuna kutongozana kweli, hao mademu utawaambia nin kwani wameshatongozwa mpka basi, wewe ukimpenda demu kiasi cha kumuambia "nataka nikakumege leo", kisha unaenda kupiga game mkikubaliana kama hataki unachapa lapa.
 
.................naenda moja kwa moja to the point ...aisee Mshiki nimekufeel sana natamani unipe hapo hiyo kitu yako, Unasemaje... ..

sasa hapo umetongoza au umetukana?
 
mi ilikuwa ngumu aisee...Ila naona kutongoza ni kipaji aisee...
Tuko, kwanza pole, kwa sababu kwako ilikuwa ngumu.
Kuto.. sio kipaji, its an art, kama ilivyo an art of makingi love.
Kupenda ni sanaa, ndio maana uki do na diferents arts unapata difrent pleasures, hata dhana ya ulimi mzito, pia its an art on its own!, na kuna wengine ambao ndio wana blend nayo kuliko maneno matamu na kamba nyingi!.
 
Mimi ni kinyume chake. Mademu ndio huwa wananitongoza mimi.

Huwa unasikia wanasema.
Ingekuwa ni kweli usingesema.
Mfano:
Ukienda kwenye ofisi fulani ukakuta maandishi mlangoni yameandikwa "HATUPOKEI RUSHWA", ujue kuwa hiyo ofisi huwa wanasikia tu kwamba kuna watu huwa hawapokei rushwa. Au mfano mwingine ni kuwa wewe kama siyo mwizi huna haja ya kwenda unamtangazia kila mmoja kwa sauti "MIMI SIYO MWIZI".Pole sana Mzee Ngabu leo tena nimekuamkia, ila ni utani wa kawaida sana huu ndugu yangu, usije ukaogopa kuendelea kutujuza internal affairs zako!
 
Back
Top Bottom