Hivi kusema walimu ni wengi kuliko wafanyakazi wengine ni sahihi na kuwanyima mishahara mizuri.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Mimi nafikiri inaposemwa kuwa serikali ya TZ,Inawafanyakazi 300,000.inamaana kuwa nao wamo sasa kuwambia wapo wengi maana yake nini?hawana umuhimu HAWANA MAJUKUMU,au vipi? Basi wapunguzwe wabaki wachache,haya maneno yanasemwa sana na viongozi hasa CWT.HAYA NI MANENO YA KUMRITHISHA MJINGA ILI ABAKI KAMA ALIVYO HUKU KICHWANI KABEBA ZIGO KUBWA NA MFUKONI HANA KITU.kuwa wengi maana yake kuna kazi nyingi wangekuwa hawana kazi wangepunguzwa wabaki wachach wanaohitajika.
 
Back
Top Bottom