Hivi kuna watu bado wanatembelea blog ya Michuzi?

Duh! kaka kwanza ndo kwanza umenikumbusha kuna hiyo hiyo blog, kwa kweli sikumbuki lini nilipitia kule..(
Mi nshafunga ndoa na Jamiiforums, afu na hawa mafisadi wanavyotishia kuifungia wananitisha acha tu..:(
Inabidi Jamiiforums itengenezewe crone yake ili isipotee kwa nguvu za mafisadi. Kuwe na backup site ya nguvu kama hii ikifungwa kwa nguvu za kifisadi tunahamia kwenye backup..
 
Kuna ubaya gani aren't we the people who dare to speak and think freely. It reminds me of my stint in a communist country where citizens were not allowed to read or view some materials. That is a blog with its owners philosophy. By the way I have learned the world is not as free as we preach neither in the capitalist nor socialist systems. Let it not be here as well.
 
Inabidi Jamiiforums itengenezewe crone yake ili isipotee kwa nguvu za mafisadi. Kuwe na backup site ya nguvu kama hii ikifungwa kwa nguvu za kifisadi tunahamia kwenye backup..

Mzoaji nadhani wewe ni mgeni hapa... Mwaka 2007 CCM walijaribu kuifunga hii web, walifanya kila linalowezakana include kumuweka max ndani, lakini ni Mh. Lissu na malamwai wengine walio tupigia kifua na Max akatoka. Kisha jina likabadilishwa kutoka Jambo kwenda Jamii... Na kuifunga ni njozi. Labda waiban Tanzania.
 
Blog ya Michuzi ilikuwa imepata muda mzuri wa kushine wakati huu wa kipindi cha uchaguzi. He has been so biased to the ruling party CCM bila kuficha. Kama mwandishi he has to be fair kwa both parties na kutoa report na meendeleo ya vyama bila kuwa na upande wowote. Kama kaamua yeye ni mpenzi wa CCM basi ni bora aweke wazii mapenzi yake nakuutangazia umma ili tujue. Hii itatusaidi kumjudge yeye. Lakini bila hivyo Michuzi ametia aibu kwa kutofuata ethics za uwandishi. Amejali maslahi yake na sio ya community na sasa amepoteza mvuto wa wengi.
 
Back
Top Bottom