Hivi kuna wategea kazi maofisini kama members wa JF kweli?

Leo nimekaa chini na kufikiri kwa makini nikajaribu kukumbuka na pale ofisini wanavyopambana na facebook kuzuia wafanyakazi ku concentrate na ma fb wakati wa kazi,ofcoz wengi hawana mwamko na jf...swali likaja kichwan mwangu kunaweza kuwa na watega kazi tanzania hii kama member wa JF kweli?,kwa sababu wengi hapa wanatumia internet za ofisini na wakati wa kazi traffic jam hapa huwa to the fullest<br />
<br />
Me nadhan huku ni kutolitendea taifa haki watu hatutumiki ipasavyo,kazi tunapiga kwa kudonoa donoa tu hatupigi mzigo kisawasawa,na supervision ni mbovu sana huko makazini thats why
<br />
<br />
We mojoki, great thinkers hatuko hivyo. Usituzushie.
 
Back
Top Bottom