Hivi kuna wategea kazi maofisini kama members wa JF kweli?

social networks contribution inategemeaana na mambo mengi kama kazi mtu anayofanya.ie ni mpokeaji wa wageni tu na kupost few records ktk pc anaweza kuwa active sana.pia kuna nyakati kama lunch tym watu wengine hawatoki ofcn kwa sababu hamna sehemu za kula ama wanafanya diet na wengine wanapiga neutral(dashdash) kwa ajili ya bajeti.pia wapo wanaokuwa na muda wakati wa likizo,wakati wa safari,boring home nk ukzingatia sio watu wote wapo kwenye time zone moja,sometimes wewe upo ofisini mimi ndo muda wa kulala nachungulia jf

yah thats true but not the real fact...wewe angalia tu online members weekend na siku za kazi

Dont judge the book on its cover right? Si wote tuko Serikalini

kwan nani kataja serikali hapa? Ooh sijakupata vizuri unamaanisha jukumu la kurutubisha uchumi ni la wafanyakazi wa serikalini okey shame on you madam

Kwenye FB ni mwendo wa kusaka saka tutoto twa shule, vyuo na mimama ilizidi menopose.
JF hamna kuremba, ni nondo za uhakika na hamna longolongo, kama hamna longolongo muda utakao utumia JF hauzidi nusu saa kwa siku, labda uajiriwe na Nape kwa ajili ya kushinda JF 24/7

chukua hii kudos kutokana kitufe cha thanks kilishatolewa..

yah thats true but not the real fact...wewe angalia tu online members weekend na siku za kazi

ukiangalia kiivyo itakuchanganya kutokana forum nyingi huwa zinaweka watu ambao wako online mara nyingi na sio kwa idadi ya wakati huo unapo angalia..

Leo nimekaa chini na kufikiri kwa makini nikajaribu kukumbuka na pale ofisini wanavyopambana na facebook kuzuia wafanyakazi ku concentrate na ma fb wakati wa kazi,ofcoz wengi hawana mwamko na jf...swali likaja kichwan mwangu kunaweza kuwa na watega kazi tanzania hii kama member wa JF kweli?,kwa sababu wengi hapa wanatumia internet za ofisini na wakati wa kazi traffic jam hapa huwa to the fullest

Me nadhan huku ni kutolitendea taifa haki watu hatutumiki ipasavyo,kazi tunapiga kwa kudonoa donoa tu hatupigi mzigo kisawasawa,na supervision ni mbovu sana huko makazini thats why
Mkuu, bac hata kazi zenyewe zipo! toka asubuhi watu wanasimuliana habari za shosti, king'asti, saloon, nk hivyo. Si bora watumie huo muda watuhabarishe matukio ikiwa pamoja na visiri vya huko na sie wauza Nyanya hapa Inyala tujue yanayoendelea huko Tanzania ya Daslam

wengine wanasign in then anachungulia au kupost comment moja lakini yupo busy na mambo mengine mpaka muda anazima pc au simu yake

hata me nautambua umuhimu wa JF lakini muda wa kazi? Yaan unatoka nyumbani kwako hadi ofisini kwa ajili ya ku JF na kufanya kazi kiduuchu ndo maana service zinadhorota kila mahali

Ngeleja yupo Jf?

Mi nafikiri ili kuonyesha msisitizo, Mod wawe wanakupa temporary Ban masaa ya kazi ili u-concetrate kwenye issue zako za job,
Pili hakuna anaeweza kukodolea macho screen ya ofisini masaa yote nane akichapa kazi tu,
Lazima refreshment ziwepo kidogo.

Kweli kabisa mojoki, mfano mimi saa hizi napaswa kushughulika na mama Ngina but niko JF-tufanye kazi jmani tujenge nchi.

bujibuji kuna watu humu masaa sita JF mawili kazini

Kwenye FB ni mwendo wa kusaka saka tutoto twa shule, vyuo na mimama ilizidi menopose.
JF hamna kuremba, ni nondo za uhakika na hamna longolongo, kama hamna longolongo muda utakao utumia JF hauzidi nusu saa kwa siku, labda uajiriwe na Nape kwa ajili ya kushinda JF 24/7

ndo kazi yako kule fb eeh?tushakushtukia

Members wa JF wenye kazi za uhakika tupo wachache sana!
Wengi wao wapo vijiweni na simu zao za kichina ndio wanasumbua humu mchana kutwa na usiku kuchwa wengi wao na Pro-CMD

mkuu sio kila mtu kaajiriwa. ... dunia hii mobile internet ndiyo iliyotawala , gadgets zenye mobile net (androids) zimezagaa kila mahali sio lazima uwe ofisi ya kuajiriwa ndiyo uwe na access ya net. huku sisi enterpreneurs tupo busy huku tablet computers zetu zikiwa nasi

Anataka kutuambia waajiriwa hawawezi kutimiza majukumu yao bila kusimamiwa na kusukumwasukumwa kama punda.

Members wa JF wenye kazi za uhakika tupo wachache sana!

Wengi wao wapo vijiweni na simu zao za kichina ndio wanasumbua humu mchana kutwa na usiku kuchwa wengi wao na Pro-CMD

khaaa!

kwan nani kataja serikali hapa? Ooh sijakupata vizuri unamaanisha jukumu la kurutubisha uchumi ni la wafanyakazi wa serikalini okey shame on you madam

Mbona mkali sana, uko serikalini?

mkuu sio kila mtu kaajiriwa. ... dunia hii mobile internet ndiyo iliyotawala , gadgets zenye mobile net (androids) zimezagaa kila mahali sio lazima uwe ofisi ya kuajiriwa ndiyo uwe na access ya net. huku sisi enterpreneurs tupo busy huku tablet computers zetu zikiwa nasi

Mkuu kama ulikua kwa akiliangu, umenijibia kabisa, sikutegemea mtu anaweza akawa na mawazo ya kizamani kiasi hicho, huo muda anaouonea huruma unampa nini wakati hata akitumika kwa bidii walaji wanajilia tu watanzania wanabaki hohehahe.

Back
Top Bottom