Hivi kuna wafanyakazi wa TBC humu ndani??

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
ningependa nijuwe kama wapo,na ningefurahi sana kama ungejibu swali langu,je mnajisikiaje kuendesha TBC ambayo ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa au dini kwa upendeleo???Je mnajisikiaje kupendelea ccm peke YAKE na habari zao na kuwaacha mamilioni ya watanzania wasio wana ccm pembeni??hivi mnaonaje siku ccm ikitoka madarakani je mtaendelea kufanya kazi TBC au mtajiuzulu??kAma mtaendelea kufanya kazi hapo je hamtaona AIBU??????????
 
TBC ya Tido Mhando si hii ya huyu mchumia tumbo mkuu! Mimi nadhani siku CCM itakapokufa wataomba ardhi ipasuke!
 
sasa wakuu kwenye settlite hatupati tena ITV,STAR TV,CHANEL 10,,ni TBC PEKE YAKE TUFANYE NINI SASA???
 
Hoja imeingilwa??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom