hivi kuna ulazima wowote wa kuvaa nusu uchi kwenye muvi na video

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
wanajamvini nimekua nikijiuliza kwa nini dada zetu huvaa vichupi na sidiria tu kwenye video za muziki na baadhi ya movie? Alafu wana kuwa wakicheza staili za chumbani!! Hebu tulijadili hili tafadhali.
 
Ukimuuliza mzee wa commercial atakuambia biashara matangazo............... Wakware na ambao ndio wanunuzi wa hizo video, ndio kinachowavutia kununua hicho...........

Ila hii thread inahusianaje na JF Doctor?
 
we changia inahusiana ama haisiani we haikuhusu.


MT,

Punguza hasira basi! ingekuwa haimhusu asingechangia ila, kwavile inamuhusu ndo maana kachangia.

Ukweli hii haikupaswa kuwa hapa, kwanini isipelekwe kunako shahili?
 
we changia inahusiana ama haisiani we haikuhusu.

Namiss kuGROAN!We kama haimhusu umeweka aweze kuchangia ya kazi gani?Mambo ya uvaaji kwenye movie uchwara zenu hayana nafasi kwenye jukwaa la JF Dr.GROW UP!
 
Wewe huoni umuhimu ila kwa wanaovaa umuhimu wa kuvaa hivo ni mkubwa...asa ukizingatia biashara ni lazima iwe na matangazo
 
Back
Top Bottom