Hivi kuna ukweli wanawake wazuri sana huwa hamnazo kichwani?

mim ni mbaya,sura langu bovu na sina akili sasa hapa sijui wazazi wangu walikosea nini lol.
 
Hapa bwana mi siongelei ule uzuri ambao kila mtu atajisifia mtu wake anao, yaani very simple i mentioned two categories kama reference ili kuondoa huko ambako watu wanatupeleka sasa. Hope umenielewa mamy

Hizo ulizo mention ni. zipi ?
 
Kwahiyo "yeahh" ndio ilikuchekesha au kitendo cha mimi kujibu "yeahh" kwa swali lile ndio kilikuchekesha.

Swali langu: 'wewe ni mtoto shoo?'
Jibu lako: 'yeahh'

Jibu lako kwa swali langu ndo lililonichekesha.
 
Beauty is in the eyes of the beholder! Mzuri kwako kwa mwingine wa kawaida tu... Na kila mtu ana criterias zake za ku define uzuri! Pia, asiye nazo kichwani si ni chizi (retard) huyo?
 
Beauty is in the eyes of the beholder! Mzuri kwako kwa mwingine wa kawaida tu... Na kila mtu ana criterias zake za ku define uzuri! Pia,
Sound hizo, anywei nimetaja category nlizorefer
 
inawezekana, maana wanaume wazuri wote vichwamaji, handsome boys zero kabisa, inawezekana na warembo ikawa hivyo.

ila uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu, sasa sijui unaongelea uzuri gani

Huyo anamaanisha wanawake warembo wenye kuvutia. Huo usemi wako si sahihi wakati wote, kuna wanawake wengine huvutia watu wote na kukiri kweli ni mrembo licha ya kuwa hawamtamani.
 
Back
Top Bottom