Hivi Kuna Tofauti kati ya Private Candidate na Independent Candidate?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
Wadau naomba tofauti ya kina kama ipo maana niliona jamaa mmoja juzi channel 10 akitofautisha lakini nilikuta ndo anaishia sikunyaka vizuri
 
Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!.
 
duh! aisee, kuna mkurugenzi mmoja alisema independent candidate ni mgombea huru kwa ksiwahili
 
Private candidate ni watahiniwa wa kujitegemea wa mitihani. Independent candidate ni mgombea wa kujitegemea wa uchaguzi!.
mkuu kama una source itajua jambo la mbolea..........
 
Back
Top Bottom