Hivi Kuna Siri Gani Hapa Jamani?

Karhumanzira

Member
Oct 19, 2011
50
9
1.Sheraton Hotel
2.Royal Palm
3.Move N Pick
4.Serena

MOVE N PICK
02TDRP-IM1002-movenpick-royal-palm-900.JPG

SERENA
SAM_0760.jpg

Nawasilisha
 
Mnachezewa mahepe na akina Kikwete. Bahati mbaya hawatumii hata akili kufanya huu utapeli wa kitoto. Siku arobaini yao ikifika mbivu na mbichi itajulikana. Too much of folly and foolly colly like stuff so to speak. May you perish fisi and fisadis doing all this abracadabra.
 
1.Sheraton Hotel
2.Royal Palm
3.Move N Pick
4.Serena

MOVE N PICK
02TDRP-IM1002-movenpick-royal-palm-900.JPG

SERENA
SAM_0760.jpg

Nawasilisha
Hapa kuna kila kitu cha kustarehe hapa mimi nilishawahi kukaa kwenye Hotel ya MÖVENPICK ya mjini Cairo nilipokuwa nipo Transit Hotel ina raha tupu hiyo kila kitu unachohitaji utakikuta humu jaribu uone wewe.
 
Kukwepa Kodi

Mhhh ni ufiasdi ti kwenda mbele......utasikia baada ya miaka 4 inabadilishwa tena jina na kuitwa SERENE....., Ni mwendo wa kuibia TZ....lkn ipo siku mambo yatakuwa hadharani.....
 
huu ni uwizi wa hali ya juu na huku Rais akipigia kelele kuwachukulia hatua wakwepaji wa kulipa kodi kwa nguvu zote sijui hapa ana maana gani kwa nini na watanzania nao wasipewe grace period wakati wanaanzisha biashara ili kumwezesha kukua zaidi badala yake leo ukifungua duka tu tena uchochoroni ipe wiki kama maofisa wa tra hawajakusimamia hapo jiulize hizo pesa za kulipia kodi unapata wapi ikiwa hata biashara haijaanza halafu na hawa mabepari wako free kiasi gani kutokulipa kodi wakimaliza muda wao haaooooo kwa raha zao wanaONDOKA yaani hhhaaaasira saaana ujinga mtupu the whole system ya mambo ya kulipa kodi "INANUKA" KWA mtaji huu kila mtu ataiba na atkwepa kulipa kodi mmmmmmpppppheeeeewwww
 
Jamani haya mambo yanayofanyika katika nchi hii, ni ya ajabu sana. Kuna watu wanajifanyia wanavyotaka na hakuna wakuwahoji. Mimi nasema, kuna rais atakuja kuyahoji yote yanayofanyika sasa na watu wengi watafungwa jela. Kuna sura wa watu wanaowania urais, nimeona mmojawapo atakayeiweza nchi hii.
 
DAR ES SALAAM SERENA HOTEL

:juggle::juggle::juggle::nerd::nerd::nerd::nerd::juggle::juggle::juggle:

Yote yana mwisho sadam h, gadaff, mubarakh, ben aly hawakujua!
 
Wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na HYATT, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh
 
Hapa kuna kila kitu cha kustarehe hapa mimi nilishawahi kukaa kwenye Hotel ya MÖVENPICK ya mjini Cairo nilipokuwa nipo Transit Hotel ina raha tupu hiyo kila kitu unachohitaji utakikuta humu jaribu uone wewe.
mzee wangu! naskia unawapa promo eeh!!!
 
Wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na HYATT, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh
unajitahidi kuwaongelea,ebu tupe na kastori ka KILIMANJARO KEMNPISKI kuitwa HYATT REGENCE!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom