Hivi kuna sababu gani za kupost/kuweka picha za watoto wetu mitandaoni?

Nina hakika ukipata ajali kisha ukakatwa pua hutaweka picha mtandaoni. Mimi binafsi sioni fahari kuweka picha yangu mtandaoni na huwa siweki.
Hakuna niliposema naona fahari kuweka picha, ila naweka sanaaa tu na nitendelea kushare picha za event mbalimbali na marafiki zangu, wewe kama huna cha kushare ni wewe na maisha yako lakini mimi kila nchi ninayokwenda lazima nitupie Facebook wajingawajinga kama wewe upate fursa ya kuosha macho, hivi ulidhani unapodownload camera 360 ni ya kuifungia store? Watu wengine hovyo kwelikweli.

Labda nikuulize wewe mwenzetu ulijiunga Instagram ili iweje? Unajuwa malengo ya walioanzisha mitandao hiyo?

1465570105953.jpg


1465570152674.jpg
1465570277997.jpg
1465570409357.jpg
1465570482659.jpg
 
Binafsi naona ni sehemu nzuri ya kutunzia kumbukumbu picha zisiharibike.
 
Acha kelele wewe usiye na mtoto hadi leo,unakimbilia 30 yrs huna mtoto?? Acheni marijali tuwatupie watoto wetu
Hata kama anaye, mtoto amejaa utapiamlo mtupu atupiaje maphoto Facebook?

Humu imejaa mijitu maisha yao yamewashinda sasa wanataka kuyaishi na maisha ya wengine, kamwe usiruhusu mtu mwingine kuishi maisha yako.

Mtoto wangu ni mali yangu mpaka awe over 18 ndio atakuwa na maamuzi yake na faragha zake.

Jitu linatema pumba JF wakati mtoto wake anasomeshwa bure na Magufuli shule ya kata na madawati anachangiwa na Diamond sukari ya warembo halafu anakuja kubana puwa hapa JF ati anamjali mtoto wake, haya ni maajabu ninayoyaonaga only in Tanzania.
 
Kama huna mtoto shut up ur mouth..acha wenye watoto wetu tuwapost tu,wagumba mtaishia kupiga kelele tu
Acha dharau na majivuno.... Unaona umemaliza hujui safar moja huanzisha nyingine.. One day utajutia kauli yako utakapoona mwanao amevamia madawa ya kulevya , ukahaba au wizi..... Ugumba sio tusi check it again ndugu
 
Acha dharau na majivuno.... Unaona umemaliza hujui safar moja huanzisha nyingine.. One day utajutia kauli yako utakapoona mwanao amevamia madawa ya kulevya , ukahaba au wizi..... Ugumba sio tusi check it again ndugu
Wengine sio wagumba mkuu ila hawataki kuzaa tu.ila nimetumia neno wagumba ili wapate hasira wazae.kuwa na mtoto raha bwana
 
Mwigulu nchemba alipiga picha ya mwanae anayesoma feza school na kuipost Instagram account yake. au yeye si mwanasiasa.
 
Watu wako free huu si ulimwengu wa kuogopana kama wachawi .kila mtu na time yake . kama picha haikuhusu huna sababu ya kuhangaika nayo.
 
Back
Top Bottom