Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,838
- 93,572
Akhu,
kula mwdnyewe na mkeo.
ila lunch ingekuwa CHIPS + KUKU + CHACHANDU + JUICE au sort of a thing...najua ungejibu faster kuwa waja...
Akhu,
kula mwdnyewe na mkeo.
ila lunch ingekuwa CHIPS + KUKU + CHACHANDU + JUICE au sort of a thing...najua ungejibu faster kuwa waja...
yaani kila nikikuwaza my princess huwa najisikia furaha kuwa na binti kama wewe...
kwanza kabisa napenda kumtumia salamu my huz @C6. wimbo: my all by mariah carey. pili natuma salamu kwa familia yangu daddy watu8, mummy measkron, sista WiseLady & sweetlady. tatu na mwisho natuma salamu kwa wanachitchat woote wakiongozwa na wewe Madame B. wimbo: utamu wa Yesu by rose mhando. ujumbe:msikose kutembelea chitchat a.k.a stress free zone
mume wangu kipenzi watu8 kwa kweli ni faraja kubwa sana mwanate charminglady huwa hatusahau wazazi wake, mungu akubariki sana hakika tumelea kwa neema za mungu