Hivi kuna NENO lenye MANENO m'badala kuliko hili?

yaani kila nikikuwaza my princess huwa najisikia furaha kuwa na binti kama wewe...

Mhh!!
Mababa wa Kizazi hiki mna kazi.
Ndo yale ya Mama Kumbena.
Hataki kumuoza binti,kisa amemzoea.
 
yaani kila nikikuwaza my princess huwa najisikia furaha kuwa na binti kama wewe...

Cha kufanya hapa Babie mwana , Binti keshakua na ndo yuko njia moja kuanzisha her new couple!
Wewe sasa komaa kuchuja nafaka kwa kwenda mbele u'produce mwingine!
Kila uchao wanaume wapya wanazaliwa, watahitaji mautulivu.
 
hahaha mwingine ni kidume bado anakula nondoz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom