Hivi kuna NENO lenye MANENO m'badala kuliko hili?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Katika utafiti wangu wa muda mrefu nimegundua neno MONEY au FEDHA likawa neno lenye m'badala wa maneno mengi similar kulikusu, labda kuliko maneno yote katika kingereza na Kiswahili .
Vinginevyo maneno ya m'badala wake hubadilika moja hadi jingine due situated place! Or where you are .

Aidha neno MONEY lina vijineno vingine lukuki , ambavyo vinatumika kulisindikiza kama si kuliwakilisha. Kwa uchache angalia maneno haya ambayo niyaite (huge deligators )

1. CURRENCY
2. FUND
3. FINANCE
4. COIN
5. NOTE
6. CASH
7. TREASURE

Baadhi ya maneno madogodogo (tiny deligators) ambayo ukiyataja tu result yake ni MONEY ni kama haya ;
1. SALARY
2. RENT
3. BILL
4. CHARGE
5. FARE
6. FEES
7. TAX
8. LEVY
9. WAGES
10. ALLOWANCE
11. INCOME

Kisha yapo maneno ya fungu la 3 ambayo kwayo pia yakitumika yanaweza kuwakilisha MONEY au other wealth .
Mf.
1. FINE
2. PENALTY
3. DOWRY
4. BRIDE PRICE
5. PRICE
6. BRIBE
7. CORRUPTION
8. PAY
9. BONUS
10. HIRE 11. RIBA
12. MKOPO
13. BINGO (Jugpot)
Na mengine mengi ambayo sijayataja.

Huku kwenye Kiswahili nako si haba !
Mf.
1. PESA
2. FEDHA
3. SARAFU
4. NOTI
5. MKWANJA
6. MAVUMBA
7. HELA
8. MAGOTO
9. MPUNGA
10. PONYOO
11. MAKUTA
12. MAPENI
13. FUBA
Na mengine mengi siyakumbuki .
Issue hapa ni mimi kutaka kupanua wigo wa ufahamu, hivi kuna neno tofauti na hili lenye maneno ya badili , kuzidi hili ?
 
Mie nadhani herufi yenye maana nyingi ni k.
Kulia, kushoto, kucheka kitambi kichwa kunywa kojoa kumi endelea
 
Judgement kweye fungu la pili umesahau hizi result; INTEREST, PROFIT, COMMISSION & LOSS
 
Last edited by a moderator:
In'ye,
Bambataa,
Mpododo,
Kijungu,
Mzigo,
Mfungashio,
Kwa neno moja huitwa nini?

Ushuzi(Shuzi)
Wowowo
Mkia
Masaburi
Tsunami
Kando
Kishonde
Kibinda(Kibinda Nkoi)
Nyuma
Booty
Wezere
Ngongingo
Uchumi
Tigo
Nundu
Mwisho wa Reli
Uwemba

attachment.php
 
kwanza kabisa napenda kumtumia salamu my huz @C6. wimbo: my all by mariah carey. pili natuma salamu kwa familia yangu daddy watu8, mummy measkron, sista WiseLady & sweetlady. tatu na mwisho natuma salamu kwa wanachitchat woote wakiongozwa na wewe Madame B. wimbo: utamu wa Yesu by rose mhando. ujumbe:msikose kutembelea chitchat a.k.a stress free zone
 
Last edited by a moderator:
Kuna neno linaitwa KE!

Mtoto wake
Jumba Lake
Demu Wake
Computer Yake
Uke
naona hayatoisha..

Kuna Raisi

Mkulu
Dhaifu
Presidaa
Mkwer3

''Kwenda''

kuenda
kusafiri
kurejea
kutoka
kuingia
kudumbukia
kutumbukia
kurukia
kuchumpa
kuparama
kuperuzi
kusindikiza
Kuongoza
n.k
 
Ewaaa!!!
Hapo umenena,
Na ujumbe umewafikia walengwa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna neno linaitwa KE!

Mtoto wake
Jumba Lake
Demu Wake
Computer Yake
Uke
naona hayatoisha..

Kuna Raisi

Mkulu
Dhaifu
Presidaa
Mkwer3

''Kwenda''

kuenda
kusafiri
kurejea
kutoka
kuingia
kudumbukia
kutumbukia
kurukia
kuchumpa
kuparama
kuperuzi
kusindikiza
Kuongoza
n.k

Hapa umefikiri, big up !
 
kwanza kabisa napenda kumtumia salamu my huz @C6. wimbo: my all by mariah carey. pili natuma salamu kwa familia yangu daddy watu8, mummy measkron, sista WiseLady & sweetlady. tatu na mwisho natuma salamu kwa wanachitchat woote wakiongozwa na wewe Madame B. wimbo: utamu wa Yesu by rose mhando. ujumbe:msikose kutembelea chitchat a.k.a stress free zone

yaani kila nikikuwaza my princess huwa najisikia furaha kuwa na binti kama wewe...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom