King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,638
- 68,575
mbona hayo majina ya kiume?? anyway i meant sio upatu as hatuwezi kugawana watu 3+ kama ule wimbo ya sahida karoly
Ndio Saida alivyoimba inawezekana mambo ya cameroon.
mbona hayo majina ya kiume?? anyway i meant sio upatu as hatuwezi kugawana watu 3+ kama ule wimbo ya sahida karoly
kwa tunakoelekea ipo siku watadai haki ya kuwa na waume wawili na wakidai hakuna kulalamika sababu mmeshawaonea sana.Ni ngumu sana hii
Huu ni ubinafsi tu wwanaume na tamaa zao
Cjui kama wanawake wangeamua kuwa na waume wawili kama pangekalika maana huu mkuki umeelekezwa upande mmoja tu.!
ni makubaliano tu,ingawa mwanzo huwa mgumu.nina ndugu yangu mmoja,na mke mwenzie wanaelewana sana,wakienda kwenye shuhuli wanavaa sare.mmoja akiumwa,mwenzie anampeleka hospitali.watoto wao wanaelewana.ukiwekea kitu imani,uke wenza haukupi shida.kitu chochote.kuna watu nawafahamu wengi tu,ambao wana uke wenza wanaelewana,ila ni watu wa dini mno.
hawajaifanya official.Wadai mara ngapi?
Hivi mfalme Daudi alikuwa dini gani vile? sijui lakini alikuwa na wake zaidi ya mmoja...tena aliwahi kuua ili arithi mke wa tatu, na akiwa mzee alioa tena binti kijana aliyesababisha nusura amuue mwanae wa kumzaa kwa kuwa na affair naye! Huyu ni nabii anayeheshimika na dini zote mbili!
Na mfalme Suleiman alikuwa dini gani sijui? lakini najua alikuwa mmoja kati wa watu waliopendwa na mungu, na nabii anayeheshimika na dini zote mbili...huyu alikuwa na wake kwa maelfu!
Na Yakobo sijui dini gani? Huyu baada ya kusota kwa miaka 7 akichunga mifugo mjombaye Labani aliozeshwa Leah badala ya kuozeshwa Raheli aliyempenda..akasota mingine 7 akawa na wake wawili. Mpaka sasa biblia ina vifungu visemavyo 'mimi ndiye mungu wako, mungu wa Isaka na Yakobo.....' ikionyesha jinsi livyokuwa mcha mungu na wakeze wawili..
Need me say more?
Hii inategemea binti anaolewa na mwanaume ili awe mke wa pili kwa sababu mbalimbali ninazozijua mimi
1. Kwa mujibu wa dini
2. Umri uliopitiliza hivyo anata kuosha jina kwamba nae aliolewa ili awe na watoto
3. shinikizo la wazazi kwa tamaa ya mali
4. Binti kwa tamaa zake mwenyewe mali pia umatemate wa jamaa
5. Wapo wanaoolewa mke wa pili kwa kujiona wao ni zaidi kuliko aliyetangulia (yaani amependwa zaidi)
6. Kwa matakwa ya mwanaume labda mke wa kwanza anamatatizo (mfano katika uzazi) hivyo binti anakubaliana na hilo suala kisha anaingia kwenye ndoa.
Japo mi si msoma Biblia kihivyo...Dr. Riwa kina Daudi; sijuhi Mfalme Suleiman hawakuwa na dini; Dini imeanza baada ya Kuzaliwa Kristo ndio maana tunaitwa wakristo.
Japo mi si msoma Biblia kihivyo...Dr. Riwa kina Daudi; sijuhi Mfalme Suleiman hawakuwa na dini; Dini imeanza baada ya Kuzaliwa Kristo ndio maana tunaitwa wakristo.
ni makubaliano tu,ingawa mwanzo huwa mgumu.nina ndugu yangu mmoja,na mke mwenzie wanaelewana sana,wakienda kwenye shuhuli wanavaa sare.mmoja akiumwa,mwenzie anampeleka hospitali.watoto wao wanaelewana.ukiwekea kitu imani,uke wenza haukupi shida.kitu chochote.kuna watu nawafahamu wengi tu,ambao wana uke wenza wanaelewana,ila ni watu wa dini mno.
ungejiuliza pia huyo anayeolewa kama mke wa pili si mwanamke? kama ndiyo basi wanakubali. pili, historia inatuambia hivyo eg nabii ibrahim, nabii/mfalme suleiman etc. tatu wanawake ni wengi na hawapo hivyo kwa bahati mbaya, nne, maumbile ndivyo yalivyo, nenda umasaini, umang'atini mfalme mswati, mzee zuma, merehemu prof john atemill ya ghana etc.........sorry muda haunitoshi tafadhaliSikumbuki kama jambo hili lilishajadilia,lakini hata kama tayari lilishajadiliwa nilitaka kujua na nina sababu.Ni kwamba tangu nizaliwe sijawahi kuona ndoa ya uke wenza ina amani baina ya hao wake wawili au wa idadi yoyote.Miezi miwili iliyopita kuna binti aliolewa na mume mwenye mke tayari,lakini leo binti ameachika na amerudi kwao kwa sababu,tangu ameolewa vurugu na mke mkubwa haziishi,bi mdogo kuumwa kila leo,akipelekwa hospital ugonjwa hauonekani,lakini watu wazima wamemwambia kuwa ake mwenzie ndie anamroga!Nae binti kusikia hivyo amefungasha na kuondoka kwa mumewe na anadai talaka.Huo ni mfano mmoja,najua iko mingi,nimekua nikijiuliza sana;hivi kuna mwanamke anakubali kushea mume na mwanamke mwenzie bila kulazimishwa na dini,umaskini,wazazi au mila?Kama hakuna kwanini wanawake waendelee kujitesa na ndoa hizi?Au wapo wanakubali ndoa hizi?Kama wapo ningependa kusikia kutoka kwao . . . . . . !!!!