Hivi kuna mechanism gani ya barid ya kwenye frige na makopo ya maji kugeuka rangi?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau kwenye frige hapa nyumbani tunatumia makopo ya maji ya kawaida haya ya lita moja na nusu ndio huwa tunahifadhia maji lakini kadri siku zinavyoenda makopo mengi huwa yanabadilika na kuwa na rang kama ya udongo hv je hapa kuna mechanism gani?
 
BACTERIA!!!!!!??
mnakunywa sumu kama hamjui. Either fridge yenu haina ubaridi wa kutosha au hamsafishi makopo yenu vizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom