Hivi kuna kipindi maalum baada ya uchaguzi cha kupinga mahakamani matokeo ya ubunge??

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wataalam wa sheria naomba mnijuze.

Hivi kuna kipindi maalum cha kupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi wa mbunge? Nimedokeza na rafiki yangu mmoja ambaye yupo serikali kwenye kitengo nyeti kwamba HAZINA hawatoi hela kwa lengo maalum. Baada ya kupata jibu la swali langu nitaeleza alichoniambia rafiki yangu.
 
Back
Top Bottom