Hivi kuna kiongozi wa kuaminika kabisa CCM?

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Wnajamvi wenzangu, kuna wakati huwa nakaa na kutafakari kwa kina juu ya viongozi wetu wa CCM na kujiuliza maswali mengi saana, je kuna kiongozi leo hii wa CCM anayeweza kuaminika kabisa either awe analala kanisani kusali au awe anakesha msikitini, kweli wananchi wenye ufahamu na wasio kuwa washiriki katika kuhujumu keki ya taifa ambae tunaweza kumuamini?

Lengo la msomi ni kuwa baada ya kupata elimu atatue matatizo yaliyo katika jamii, lengo la mwanasiasa ni kuwa baada ya kupata uongozi atatue matatizo katika jamii inayomzunguka. Malengo ya hao mawili yanalingana.

Viongozi wengi wa CCM ni watu ambao baada ya kupata uongozi basi hufikilia ni wapi kwa kuchuma na kurudisha hela alizohonga wakati kuingia madarakani, kuna mbunge mmoja wa zamani wananchi wake walihitaji msaada wake akawajibu ‘si niliwapa hela wakati wa kampein mnataka nini tena?’ Sasa ukichukua sampling ndani ya CCM utakuta if not 100% then atleast 95% wako hivyo, je ni watu wa kuaminika?

Mifano hai tunayo, mjadara wa katiba, mambo kadhaa ya watu kuhujumu taifa na kuwasaport n.k. most of them wanaangalia maslahi individually, sio ya Taifa! Je ni wa kuaminika hao? Raisi wetu nadhani ana washauri kwanza wavivu kusoma na ni wavivu wa kutumia akiri vilevile! Je wapo kweli viongozi wa kuaminika ndani ya CCM?

Nawasilisha.
 
Yeah, unajua An k Mar alijijengea umaarufu lakini nilivyo muona akichangia muswada wa katiba nikasema niwalewale!
 
Wapi ndg yangu?
Watanzania tumejichokea mpaka hatuoni. Angalia huyo tuliyempa kazi ya kutuongoza, watanzania hatukuona vizuri kumbe ana nazi badala ya kichwa
 
Back
Top Bottom