hivi kuna jinsi ya ku crack bberry itumie internet bila packages?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
nimenunua bberry storm lakini sipendi hii ktu ya kutumia internet kwa kununua packages na ukiicrack internet inakubali via opera min apps nyingne hazikubali.
Sasa nauliza kuna jinsi ya kuicrack nikatumia internet bila packages kama kwenye cm nyngne.
Ishaniboa anayetaka ani pm nimuuzie bado mpya mpya meitumia mwez tu.
 
Ize tu piga *148*01# fuata maelekezo kwa tigo kwa voda *149*01# kwa voda kwa airtel *150*01#
 
nimenunua bberry storm lakini sipendi hii ktu ya kutumia internet kwa kununua packages na ukiicrack internet inakubali via opera min apps nyingne hazikubali.
Sasa nauliza kuna jinsi ya kuicrack nikatumia internet bila packages kama kwenye cm nyngne.
Ishaniboa anayetaka ani pm nimuuzie bado mpya mpya meitumia mwez tu.
Ninafikiri jibu lako unaweza kupata hapa kama unajuwa kimombo bonyeza hapa The Power User's BlackBerry Guide: 121 CrackBerry Tips, Hacks and Resources - BlackBerry Forums at CrackBerry.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom