nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
serikali inataka kuwahamisha watu wote waliojenga mabondeni na kuwapatia viwanja maeneo mengine lakini hawa wananchi wanataka fidia pale watakapo hamishwa, hivi kuna uhalali wa wananchi hawa kudai fidia ili hali wanasaidiwa wasipate tena majanga ya mafuriko