Hivi kuna duka au sehemu maalum wananunua simu zilizotumika?

Sehemu wanazonunua used simu ni kwa mafundi simu ambao wapo sehemu kubwa ya jiji. Vile vile unaweza kucheck na maduka ya kariakoo kwani wao mara nyingi huwa wanauza used simu ambazo wameziweka cover mpya na zinaonekana kama mpya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom