Hivi kumiliki blogs ni ujiko??!

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
871
168
Wadau nauliza kama kumiliki blogs ni ujiko au laa!! Maana siku hiz tumekuwa tukilazimishwa kutembelea blogs za watu bila ridhaa yetu. Hili hufanywa na wale waoweka matangazo ya kazi humu.
Hebu fungua hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/278149-job-opportunities.html

utaona ninachosema. Huu ni mfano mmjoa tu, lakini iko mifano mingi.
Kwa nini msiwe mnakopi na kupest hizo nafasi za kazi moja kwa moja, kisha mka-acknowledge links za hizo blogs zetu??!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom