Hivi kujivua gamba kunamaanisha nini katika siasa

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
Jamani wadau tusaidiane kwa hili kujivua gamba ni term ambayo tunaitumia kisayansi hasa kwa reptilia katika swala la ukuaji sasa hawa wanaolitumia kisiasa wanamaanisha wanatoka stage moja ya ufisad kwenda nyingine au? HELP ME PLZ
 
Back
Top Bottom