Hivi kujiita Mtanganyika ni kosa?

Sio kosa ila ni Upumbavu. Tumeshaelimishwa sana kuhusu athari za kujitofautisha katika misingi ya Utanganyika na Uzanzibari. Hakuna mantiki iliyo dhahiri ya wewe kumwita mpemba (wich is inappropriate) badala ya Mtanzania (wich is logical and appropriate).

Kweli, si vizuri kubaguana!
 
Kama wazanzibar waniatwa hivo na wanakubakubali,sioni shida mtu kuitwa mtanganyika. Mi najivunia asili yangu
 
wewe mwana, unamaana kuitwa mtanganyika au mpemba ni kubaguana?

Kwa nini uite watu kwa sehemu? Lengo lako linakuwa ni nini kama si ubaguzi? Kwa nini usimwite kwa jina linalowaunganisha, yaani Mtanzania kama ni lazima utaje sehemu?
 
Kumekuwepo na hoja humu jamvini juu ya uhalali wa muungano wetu, mwenendo wake na ushiriki wa wananchi toka pande zote!
Ndugu zetu wa upande wa visiwani inaonekana kama vile tunawalazimisha kukubali/kurejea makubaliano ya uwepo wa taifa letu hili.

Licha ya mapungufu na kero za muungano kama tuzishuhudiazo ukweli utabakia kuwa waasisi wa nchi hzi mbili walifanja jambo lile kwa nia njema!

Ndugu zetu wazanzibari hawataki kuitwa WATANZANIA na wanafanya juu chini kuukwepa utanzania huu. Kwao UZANZIBAR ndio kipaumbele chao, wanaamini pasipo TANZANIA (Bara) wangekua mbali kimaendeleo.

Well, mimi asilia yangu ni TANGANYIKA na huu UTANZANIA ni jina tu tuliojipa kwa nia njema kwa lengo la kuonyesha Umoja wetu, bt kwa kua wao ni WAZANZIBAR nadhani niwakati sasa kwa mimi kuutukuza UTANGANYIKA WANGU.

MIMI NI MTANGANYIKA, UTANZANIA WANGU WA SASA NI JINA LA MPITO TU!
 
mkabila we! sidhani kama unafahamu unachokieleza. ila haya tu vidole ni vyako andika tu unavyojisikia.
 
Kumekuwepo na hoja humu jamvini juu ya uhalali wa muungano wetu, mwenendo wake na ushiriki wa wananchi toka pande zote!
Ndugu zetu wa upande wa visiwani inaonekana kama vile tunawalazimisha kukubali/kurejea makubaliano ya uwepo wa taifa letu hili.

Licha ya mapungufu na kero za muungano kama tuzishuhudiazo ukweli utabakia kuwa waasisi wa nchi hzi mbili walifanja jambo lile kwa nia njema!

Ndugu zetu wazanzibari hawataki kuitwa WATANZANIA na wanafanya juu chini kuukwepa utanzania huu. Kwao UZANZIBAR ndio kipaumbele chao, wanaamini pasipo TANZANIA (Bara) wangekua mbali kimaendeleo.

Well, mimi asilia yangu ni TANGANYIKA na huu UTANZANIA ni jina tu tuliojipa kwa nia njema kwa lengo la kuonyesha Umoja wetu, bt kwa kua wao ni WAZANZIBAR nadhani niwakati sasa kwa mimi kuutukuza UTANGANYIKA WANGU.

MIMI NI MTANGANYIKA, UTANZANIA WANGU WA SASA NI JINA LA MPITO TU!

naunga mkono hoja. Mimi ni MTANGANYIKA!
 
We unataka kuudhi Wazanzubari? Mi naogopa kujiita kwa jina langu la utotoni yaani Tanganyika! nilibatibzwa na mzee wa upako na sasa nimezaliwa upya ya nini Tanganyika. Hata maadhimisho ya uhuru nayo wanasema ni uhuru wa Tanzania ooh mara Tanzania bara-------
 
Ulalamiki na wakati hapo unalalamikia Utanganyika? watu mnachekesha sana hiyo Tanganyika yenyewe tulipata kutokana na mkutano wa Berlin. Shida zipo palepale uitwe Mtanganyika au Mtanzania hakuna nafuu yoyote, tunachopaswa kuangalia sasa hivi ni jinsi gani tutaondoa umaskini na si kujadili jina la Tanganyika au Tanzania
 
MI NI MTANGANYIKA, WEWE JE!Tuulizane hivyo jamani ili ifike mahali tu proud na Taifa letu.Wenzetu wakienda nchi zingine huwa hawajiiti watanzania, wanajiita Wazanzibar, wanajivunia Taifa lao wakati sisi tumebaki tukielea tu.Tena kwa maoni yangu hata wimbo wa Taifa hautufai sisi Watanganyika, labda tuubadilishe ule wa Tanzania Tanzania uwe Tanganyika Tanganyika ili uwe wimbo wetu wa Taifa la Tanganyika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom