Hivi Kodi za Wananchi Zinakwenda Wapi?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Najiuliza sana changamoto nyingi zinalolikumba Taifa kwa sasa, kuchelewa kwa mishahara ya watumishi, Halmashauri nyingi kukwama shughuli za Maendeleo, kupanda na kupandishwa kwa bei za vitu, bidhaa na huduma kwa njia ya LIFTI huku mishahara ikipanda kwa NGAZI, migomo ya watumishi wa kada mbalimbali, kutosikilizwa kwa kesi hususan za uchaguzi kutokana ukosefu wa fedha huku ikijulikana wazi kwamba kuchelewesha haki ni sawa na kuinyima na list goes on and on................mbaya zaidi najiuliza mantiki yake huku kwa sikio lingine nasikia majigambo ya onegezeko la makusanyo ya kodi kwa mwezi KWA ASILIMIA KAMA NYINGI HIVI.................naona pia Rais kasikia kilio cha wananchi na kupunguza safari za nje japo za misibani zimeongezeka zaidi.........sasaswali ninalojiuliza KODI ZINAKWENDA WAPI?????
 
Posho: posho za wabunge, posho za maafisa wa ngazi za juu serikalini. Posho za mahakimu.
 
15.JPG
DSC_8335.JPG
ona kodi "zilivyotengwa" kwa hawa watoto jameni!!
 
Posho: posho za wabunge, posho za maafisa wa ngazi za juu serikalini. Posho za mahakimu.

Mahakımu nao wanalıpwa posho kubwa sıku hızı? Sıyo Majajı peke yao?. Naona Mahakımu mara nyıngı uwa wanalıa njaa.
 
hUENDA ITOKEE BIG BHANG YA MAHAKIMU, MADAKTARI NA MADEREVA KUGOMA
Mahakımu nao wanalıpwa posho kubwa sıku hızı? Sıyo Majajı peke yao?. Naona Mahakımu mara nyıngı uwa wanalıa njaa.
 
Najiuliza sana changamoto nyingi zinalolikumba Taifa kwa sasa, kuchelewa kwa mishahara ya watumishi, Halmashauri nyingi kukwama shughuli za Maendeleo, kupanda na kupandishwa kwa bei za vitu, bidhaa na huduma kwa njia ya LIFTI huku mishahara ikipanda kwa NGAZI, migomo ya watumishi wa kada mbalimbali, kutosikilizwa kwa kesi hususan za uchaguzi kutokana ukosefu wa fedha huku ikijulikana wazi kwamba kuchelewesha haki ni sawa na kuinyima na list goes on and on................mbaya zaidi najiuliza mantiki yake huku kwa sikio lingine nasikia majigambo ya onegezeko la makusanyo ya kodi kwa mwezi KWA ASILIMIA KAMA NYINGI HIVI.................naona pia Rais kasikia kilio cha wananchi na kupunguza safari za nje japo za misibani zimeongezeka zaidi.........sasaswali ninalojiuliza KODI ZINAKWENDA WAPI?????

msoga kwa jk kujenga mahekalu
 
Makusanyo ya kodi kisheria zinatakiwa kwenda kwenye hazina. Lakin hapa pana siri-kali ambako ndiyo zinako elekea. Tafakari.
 
Back
Top Bottom