Hivi Kodi nayokatwa kila Mwezi na Serikali,inanisaidiaje mimi kama mtanzania?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Nakumbuka wakati nipo kayumba primary school tulifundishwa kwamba serikali inakusanya kodi hili iweze kununua dawa hosptal,kujenga barabara,kulipa wafanyakazi,kuleta maji,umeme etc,sasa najiuliza kodi nakatwa kila mwezi lkn still nikienda hospto dawa hakuna,barabara zote ni misaada,net za mbu nazo misaada,umeme ndio kama hvyo unasuasua na bei ndio usiseme etc,swali langu kodi yangu inanisaidia wapi?
 
Kaka swali gani hilo unauliza?unajifanya hujui kodi zetu zinakoishia?huoni magari ya kifahari?yale majumba kule mbezi na masaki?misafara ya viongozi wetu wakiwa na vimada wao ziarani?Amka kaka,tanzania zaidi ya uijuavyo.
 
Back
Top Bottom