Hivi kituko gani unakikumbuka ulikifanya wakati mdogo

ha ha, mi nakumbuka nilikuwa darasa la nne alafu mi na marafiki 2likuwa 2mepinga mchezo msondo. Yani mtu ukiinama tu unazibwa teke la ma**ko... We! Cnikajisahau siku moja nilikuwa nafunga kamba za viatu.. Sinikainama.. Dah! Kumbe yule niliyekuwa nimepinga naye alikuwa nyuma yangu.. Mwanangu nilipigwa teke ka ukweki we acheni 2 nilisikilizia maumivu mpaka kwenye map**mbu
 
Mimi nakumbuka nikiwa darasa la kwanza, Mother mmoja jirani alinituma chumbani kwake nikamletee chupi mwanae. Mie nilipofika chumbani kwake nikabugi mahesabu nikadhani kanituma chupi yake na kumpelekea. Weee nilikula bakora za kutosha!
 
Mimi nakumbuka nikiwa darasa la kwanza, Mother mmoja jirani alinituma chumbani kwake nikamletee chupi mwanae. Mie nilipofika chumbani kwake nikabugi mahesabu nikadhani kanituma chupi yake na kumpelekea. Weee nilikula bakora za kutosha!

tehe tehe teheeeeeee,uwiiiiiiii ha ha haaaaa,ila hapo kwenye mother wa JIRANI mh!
 
dah kaka nimeipanda hii kitu, ni zaidi ya comedy tunazoziona siku hizi. yaani kwa hichi kituko kama mbavu zangu zingekuwa za kichina leo watu wangekula maharage
 
Ebana hiyo inafanaa na mimi ilinitokea darasa la 7 mwaka 95. nilimuandikia barua binti mmoja ya kimapenzi na kumwambia kimaandishi anijibu, matokeo yake ni kwambaikawa kila nikimuona yule binti badala ya kumuuliza majibu ya barua yangu, nikawa naona aibu na kumkwepa matokeo yake mpaka namaliza shule sikupata majibu. Tumekuja kukutana ukubwani tukakumbushiana kile kituko na kucheka saana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom