Hivi kipindi cha chereko kina mafunzo gani kwa jamii?

Na mtangazaji wa sasa anabore kama nini,she is so fake na haientertain kabisa!
 
Ni kipindi cha nini na kinahusu nini na ni kwenye Redio au TV au Magazeti?
 
si kila program ni ya kufundisha mkuu. hii nadhan ni maalum kwa waliokatika harakati za kufunga ndoa na hapo wanapata kufahamu style mpya na masuala yanayofanyika katika harusi.
 
Back
Top Bottom