Hivi kila mwanafunzi wa UDOM ni CCM?

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
wanaJF naomba tusiwe washabiki na kama mtu una statistics uziwasilishe,ni wanafunzi wangap walimchangia JK hela za kuchukua fomu pale dom,
 
Nimekugongea thanks kwa uelewa mdog

Hii haitaji machinga kuingia chuo pole sana

The Following User Says Thank You to njoro For This Useful Post:

King of Kings (Today)​
 
Unazungumza kuhusu takwimu, huna kumbukumbu. 2005-2010 chuo kimeshamiri na pongezi nyingi zilitolewa kwa silikali iliyopo. Mpaka hapo hujui kinachoendelea ni nini!
 
Unazungumza kuhusu takwimu, huna kumbukumbu. 2005-2010 chuo kimeshamiri na pongezi nyingi zilitolewa kwa silikali iliyopo. Mpaka hapo hujui kinachoendelea ni nini!

argument yako hai-hold water tupa kule
 
Hakuna hoja ya msingi hapa.UDOM ni wapiganaji na kimsingi ile hela ilitolewa na mtu fulani and then akawa2mia wanafunzi wa UDOM wachache wahuni na wasiojua wanafanya nini...BRAVO UDOM
 
upuuzi huo nani kakwambia wanafunzi wote UDOM ni ccm. Wewe kwa akili yako unafikiri hilo linawezekana////
 
Naomba wadau tuwaombee wana UDOM ili wawe professional. Wawe wanafikiria mambo siyo kufuata mkumbo. msomi lazima uonyeshe kuwa unaelewa na unaweza
 
wanaJF naomba tusiwe washabiki na kama mtu una statistics uziwasilishe,ni wanafunzi wangap walimchangia JK hela za kuchukua fomu pale dom,

kila aliye mwanachama wa ccm alichanga sh 3000/= kwahiyo chukua milln 1 gawanya kwa elf 3. Utapata idadi ya wanafunzi wa ccm udom.
 
kama unashindwa kugundua kwamba UDOM inachakachuliwa ili ionekane ni chuo cha CCM,basi we sio great thinker hata kdogo,.CCM inachukiwa na vijana,wasomi nchi nzima,.huwezi kuniambia vijana wasomi wa UDOM wanishi kisiwani,kwamba hawaelewi vuguvugu la mabadiliko linaloendelea nchi nzima,.WANAJF DON'T ALLOW YOUR FEELINGS GET THE BETTER OF YOUR HEAD.
 
kila aliye mwanachama wa ccm alichanga sh 3000/= kwahiyo chukua milln 1 gawanya kwa elf 3. Utapata idadi ya wanafunzi wa ccm udom.

una evidence?je kama ni kigogo alitoa hvyo vijisenti akawanunua vijana wachache wajitokeze wadai wao ndo UDOM nzima?fanyen utafiti kabla ya kuja na non-sense.
 
Back
Top Bottom