Hivi kibonde anafikiria nini wakati mwingine??

Habari za leo wanajamii!!!
Jana jioni nikiwa ndani ya daladala narudi nyumbani kutoka kazini, Radio hewani ilikuwa ni clouds fm jahazi. Sasa ilikuwa ni ile segment ya magazeti ya leo ambapo walikuwa wanazungumzia ushauri aliotoa Dovutwa kwa raisi wa nchi kuwa ni bora angejiuzulu kwa kushindwa kushughulikia tatizo la RUSHWA NDANI YA CHAMA Kufuatia chaguzi zilizopita za ndani ya chama ambapo suala la rushwa lilikuwa nje nje.

Sasa basi huyu KILOPO bwana Kibonde akaanza eti “ooh hawa waandishi wanauza magazeti kwa cheap stories za siasa maana kama ni suala la rushwa wao wanaishia kuripoti tu. Kama wao ni waandishi bora kwanini wasingeingia na kufuatilia kwa undani haya madai kupata ushahidi na vidhibiti na hatimae kuwakamata. Sasa wao wanaishia kufanya kazi za tunasikia… very stupid” Hapo ni mwisho wa kumnukuu.
Sasa basi mimi ninajiuliza maswali yafuatayo;
1. Katika kazi zao waandishi wa habari wanakuwa ni makachero wa rushwa??
2. Na je nini kazi ya makachero wa PCCB ambao wanalipwa vizuri tu kwa pesa za walipa kodi wengi ambao ni masikini na ndio VICTIM wa rushwa??
3. Hivi ni nini hasa kinampa huyu KIBONDE jeuri ya kuwaambia/kuita kazi za wenzie stupid?
4. Waandishi wenzie angalau wanapaza sauti na kalamu zao kuwasilisha hayo matatizo sugu,je yeye kafanya nini zaidi ya kubwabwaja pumba tu ndani ya studio na kupamba hao wala rushwa??
Mjadala upo wazi wanandugu.

........Kama ni Kishimo........ Kibonde simzungumzii........ usimpe kichwa hana jipya
 
Kama kunasababu inayonifanya nichange radio station ya clouds ni ninapomsikia kibonde, naamini kanizidi umri tu na ukanjanja.

Kibonde is a simple mind that discusses people
 
Jamani katika watangazaji wanaoichefua roho yangu ni yeye Tangu apndoke Gadner G kwenye kile kipindi sisikilizi kabisa Sasa hivi yeye ndio msimamizi mkuu wa kipindi bs mi majungu tu pale hamna la maana, cha nyongeza ni kurushana majina na watu wanaowajua na kutambiana ktk maisha yao binafsi.
 
Huyo kibonde 1.Hapo clouds hana mkataba wa ajira ni deiwaka tu. 2.Siyo mwandishi wa habari ni Mc tu. 3.Elimu yake ni ndogo,ambayo aliipata baada ya kufanya vibaya shule(form 4 failure) 5.Kibonde na mkewe wote ni waathirika wa muda mrefu,ushaidi wa kutosha upo,labda ndiyo maana anakuwa mtu asiyejali kitu kwani maisha yake yapo matatani tayari.

Si hoja hiyo...ni upuuzi tu umeandika hapa....we umepima unajua status yako au kunyoonyeshea vidole wenzio? Una ushaidi ulienda kupima naye, au we ndio mkewe? Unajua watu wangapi wanperuzi 'uzi' huu ni waathirika, unataka kuwaambia nini...unawanyanyapaa sababu tu hukubaliani na hoja za Kibonde!?

Hoja ya Kibonde ijadiliwe 'critically' kama hoja...na sio tu Kibonde anahisiwa kuathirika, waathirika wako wengi sana nchi hii, na hata hapa JF wamejaa...acha unyanyapaa!
 
hii kama nilivyosema kuwa nilikuwa kwenye daladala na ndio redio iliokuwa imewekwa na pia nilitaka kuona kuwa suala la yeye kujifanya Mr. knowing everything limekaaje na yeye kuwaponda wenzie bila kujali mipaka ya kazi. Mwisho kabisa mie nimeleta uzi na si upuuzi kwani hii ni jamii ya watu ambapo hoja zote zinajadiliwa na wanajamii
 
Nimegundua ni kwanini yatokeapo mauwaji ya kimbari waandishi wa habari hawakosekani.....Hawa ndio kina kibonde. Wanatafuta nafasi za kisiasa kwa nguvu.
 
Si hoja hiyo...ni upuuzi tu umeandika hapa....we umepima unajua status yako au kunyoonyeshea vidole wenzio? Una ushaidi ulienda kupima naye, au we ndio mkewe? Unajua watu wangapi wanperuzi 'uzi' huu ni waathirika, unataka kuwaambia nini...unawanyanyapaa sababu tu hukubaliani na hoja za Kibonde!?

Hoja ya Kibonde ijadiliwe 'critically' kama hoja...na sio tu Kibonde anahisiwa kuathirika, waathirika wako wengi sana nchi hii, na hata hapa JF wamejaa...acha unyanyapaa!

Sawa nimekuelewa dada yangu "Riwa" lakini kumbuka ukweli lazima usemwe,Kama wewe ulishawahi kuzini na hako kajamaa,basi kamekuumiza vibaya,ebu kaulize kuna muda alikua haonekani wala hasikiki kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu,je alikuwa wapi? na pale hospitali ya Amana,yeye na mkewe wanaendaga kufanya nini,mara kwa mara.Asante sana dada yangu kama utanielewa.
 
Huna adabu...nami huwa siongei na watu wasio na adabu, bottom line....Ugonjwa unampeleka Kibonde na mkewe Amana haukuhusu..kinachokuhusu ni hoja zake. Unaonekana mtoto weye ukikua utaacha...but till then, huna 'udhu' ya kuongea na watu mature kama mimi!
 
Muoneeni huruma, ARV's zenyewe tumeambiwa ni fake, mnatarajia atakuwa na akli zake kweli!!??? msameheni bure
 
Hii yote ni tatzo la kuingia kazn ukiwa umelewa, alafu inawezekana ikawa ni kweli anamiwaya maana akiingia kwenye kipindi huwa anakohoa sana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
We ndo pumba kabisa..ukweli kibonde kaweka wazi na nawapenda watangazaji wa clouds sio wanafiki kama baaadhi ya watu wa jf... Waandishi wengi wa tz hawafanyi utafiti wanachokisikia ndio hicho hicho wanakurupuka kuandika..... Safi kibonde.
 
Nyumba ndogo ya kibonde
 
yaani katka watu ambao reasoning capacity yao ipo chini na wewew pia umo bwana. Sasa kama mwandishi akifanya kazi ya ukachero na makachero wa PCCB wafanye nini??? haya mambo yapo ndani ya chama na imekuwa wazi kiasi ambacho watu hupeana milungula chooni na imekuwa crystal clear. Sasa baada ya waandishi kulifukua hiloi balaa ndipo ilikuwa PCCB waje kufanya uchunguzi na upembuzi yakinifu juu ya hayo malalamiko na mwisho kabisa waje na kauli ya aidha kupinga/kanusha hayo madai au kuthibitisha. Look at thesituation ndio uje ku argue usikurupuke kwa ushahidi tu.
 
We ndo pumba kabisa..ukweli kibonde kaweka wazi na nawapenda watangazaji wa clouds sio wanafiki kama baaadhi ya watu wa jf... Waandishi wengi wa tz hawafanyi utafiti wanachokisikia ndio hicho hicho wanakurupuka kuandika..... Safi kibonde.

Kibe kibendu
 
Huyu anatumia coordination kati ya makalio na mdomo kupayuka hovyo, ile coordination kati ya ubongo na mdomo imeliwa na virus haifanyi tena kazi!
 
Back
Top Bottom