Elections 2010 Hivi kazi ya wakala katika uchaguzi ni nini?

Wakuletwa

Senior Member
Oct 31, 2010
134
9
Nauliza kwa sababu nashindwa kuelewa maana wao ndio walikuwa muhimu kutuletea habari zote sahihi za uchaguzi na Mwenye kibao wa tume angekuwa kazi yake ni kukat na kupest sasa hii ya kukat tu imetoka wapi? Na nyie mawakala tunaomba mtunze kumbukumbu zote muhimu za uchaguzi maana dalili za kufungwa watu zinaonekana kabisa. uUwakala si mchezo ndugu zangu. Plss tunzeni hivyo vidhibiti si mnajua kikiwaka hapa nyie ndio mtakuwa wakwanza kuhitajika.:cool:
 
Back
Top Bottom