Hivi kazi ya state house information director ni nini?

tambarare

Senior Member
Mar 1, 2011
147
9
Sijui labda kwa uelewa wangu mgodo,naomba kuuliza kazi ya rweyemamu pale ikulu ni nini? nimeuliza kwa sababu siku zoote rweyemamu akipigiwa simu kupata maelezo au ufafanuzi kuhusu ikulu atsema haaa nipigie baadaye and so and soo..........hajui majukumu yake au
 
kazi yange ni kutengeneza mabango ya kampeni za uchaguzi za JK na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari pale rais anapoanguka jukwaani
 
Back
Top Bottom