hivi kati ya mlimani city na quality centre wapi pako juu zaidi..?

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
wana jamii nilikuwepo pale quality juzi..! jamani mimi ninaona pako juu sana..! yani theater ni balaa mazee..! na misosi sasa yani ni balaa wazee..! wewe unadhani kati ya pale na mlimani wapi pako juu..!? kwa entertainment na shopping na relaxation...?
 
wapi mademu wakali na vijana wa donta,wabishi wa mjini wanajazana?.......itasaidia kupata jibu la wapi pakali kwa kurelax na entertainment!......wenye kupenda starehe za kuonekana watakuja kukujibu hapa!
 
Kipya kinyemi,demu mpya always anakua mtamu kuliko uliyemzoea,so QC wanaiona ipo juu kuliko MC.
 
Ingekuwa zama za Lodi lofa ningekujibu MC bse ni mlimani so lazima iwe juu.Ila kiuhalisia Manji katoa kitu sio masihara ingawa ni izi izi ela zetu za NSSF,Kagoda etc
 
Ingekuwa zama za Lodi lofa ningekujibu MC bse ni mlimani so lazima iwe juu.Ila kiuhalisia Manji katoa kitu sio masihara ingawa ni izi izi ela zetu za NSSF,Kagoda etc

hapo kwenye nssf na kagoda hapo mkuu!
 
Manji ni fisadi namba moja, mi nilipita juzi kati pale ikabidi niwaze mara mbili maana kama terminal 3 ya dubai airport jinsi panavyowaka, yaani zimepangwa shop kwa style ya kimitaa hadi unapotea, na pale nyingi bado zipo empty zikianza kazi zote si ndo balaa, dah kusema kweli kwa project kama hile hata kama ur sweetheart anakupenda vipi ndo atongozwe na manji lazima akuambie dear unajua home wananitegemea so future muhimu naomba tu niolewe huku he he he, tatizo parking tu ndo mliman city kapatia, but shoping and relaxion manji katoa photocopy ya shoping za walioendelea
 
Kabisaaa! nakubaliana na mdau hapo juu....Quality center pako juu,ni padogo compared to Mlimani city but pamependeza sana. Hata ile supermarket (Uchumi supermarket) nimependa mpangilio wake....Inshort,kaipiga gap Mlimani city...Ila kwenye suala la parking Mlimani city kapiga bao tena kubwa tu..
 
Wel, quality pako juu bt weng hawajui kama ipo iyo sehem, then location imekaa vibaya.

wewe unajua vitu vya ukweli asee..! kwa ambao hawajaenda quality hawawezi kujua kitu asee..! pako juu sana pale mlimani hakuna kitu wazee..! hebu kwa wale mliozoea mlimani kajaribuni quality kama mtaacha..!
 
Manji ni fisadi namba moja, mi nilipita juzi kati pale ikabidi niwaze mara mbili maana kama terminal 3 ya dubai airport jinsi panavyowaka, yaani zimepangwa shop kwa style ya kimitaa hadi unapotea, na pale nyingi bado zipo empty zikianza kazi zote si ndo balaa, dah kusema kweli kwa project kama hile hata kama ur sweetheart anakupenda vipi ndo atongozwe na manji lazima akuambie dear unajua home wananitegemea so future muhimu naomba tu niolewe huku he he he, tatizo parking tu ndo mliman city kapatia, but shoping and relaxion manji katoa photocopy ya shoping za walioendelea

kweli wewe ni mkata kiu yani hapa umeikata kiu yangu wengine walikua wanaiongeza tu hapa..! asee pale sio mchezo yani..! manji ni nnnoma jamaa angu daah..!
 
Ngoja niende leo nikatabaruk maana nimehamasishwa mno hasa na huo mfanano wa terminal 3 ya Dubai! tupunguze machungu ya kutoenda nchi za wenzetu.
 
Qulity centre huwezi kuifananisha na mliman city kiukweli na kiharaka haraka kwa machoni qulity centre ipo juu ila sasa eneo lake ni dogo dogo dogo mno wahudumu na wamiliki tu wamaduka mle ndani wakipark magari yao eneo la parking lisha jaa.
Vile vile eneo iliyopo siyo kivile sanaaa.

Ngoja wakina Q-chief na kundi lake watinge huko wataanua magari kama yao vile.
Vibaka wakishamili ndipo ubaya utakapo anzia.
 
Je iko mitaa gani kwa sisi tulio huku Sitimbi tukija dar ili tuweze kufika hap Q.
 
Mlimani City bado pako juu kutokana na sehemu, Quality pazuri kwa majengo yake mapya!
Kingine kuna kelele sana wanatakiwa wafunge vifaa kupunguza zile kelele
 
Location ya Quality siyo kabisa, lile ni eneo la viwanda bwana residence ziko mbali, usafiri kwa wanaotumia daladala ovyo but Mlimani city imekaa bomba even transport is available easilt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom