Hivi kasi za Internet zetu ni kiwango gani hasa?

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Imenichukua siku kadhaa sasa ku-download faili lenye ukubwa wa 735mb kupitia torrents na nimetumia zile zinazodaiwa kuwa ni 'broadband;' yaani Zantel na TTCL na kwa kweli nimelazimika kujaribu internet ya kawaida 'Habari' ya hapa Arusha baada ya 3g za kibongo kushindwa ku-deliver.

Hivi ni kila mtu anapata adha hizi au nimetokea kuwa na bahati mbaya? Na ni kweli kasi za 3g zetu ziko kwenye mb/s na siyo kb/s?
 
Yale yale mwana. Mimi nimejiunga na Light day ya tiGO, spidi inakatisha tamaa kixhenzi! Kufungua homepage ya JF tu maelezo... Aaaagh!
 
Yale yale mwana. Mimi nimejiunga na Light day ya tiGO, spidi inakatisha tamaa kixhenzi! Kufungua homepage ya JF tu maelezo... Aaaagh!

pole lakini tangazo linajieleza wazi, wanaposema nimejiunga na internet ya tigo yenye kasi ya ajabu....? (more than slow)
 
Hizo speed wanazosema (mf. Zantel 3mbps) unaweza kuzipata labda kwene saa saba usiku na kuendelea. Mchana utachezea less than 100kbps. Halafu pia nadhani torrent huwa zinadownload taratibu kuliko means nyingine.
 
pole lakini tangazo linajieleza wazi, wanaposema nimejiunga na internet ya tigo yenye kasi ya ajabu....? (more than slow)

Umenichekesha sana kaka, kweli ni kasi ya ajabu....
 
Back
Top Bottom