Hivi Kashindye wa CHADEMA anaumwa?

Nimemuona tena kwenye taarifa ya habari ITV.

Ni kweli Kashidye kachoka sana mpaka Gwanda limepwaya!
 
Mbona kuna watu wajinga kiasi Hiki mbona JK mgonjwa lakini anadunda mwaka Wa ngapi huu acha ujinga
 
Umezoea kuona MAVITAMBI YA WIZI YA WANA MAGAMBA mpaka ukiona mtu mwembamba unadhani anaumwa duh kweli umeathirika kisaikolojia
 
kwani ameshawahi anguka kama yule mzeee wa kifafa!
Naona tumesahau ya mwaka jana wakati wa kampeni. Hebu tujikumbushe kidogo kwa kuangalia picha ifuatayo:-
 

Attachments

  • Tunazikumbuka.jpg
    Tunazikumbuka.jpg
    78.7 KB · Views: 52
Ha! Ha! Ha! Ha!. katavi bana mbona Dr Slaa, wakati wa kampeni za urais alitembea nchi nzima kumwaga sera, lakini mbona hakuchakaa.

Ebu tafuta gazeti la mwananchi la Sep 26 2011. Umuone huyo Kashindye, jinsi alivyochoka yaani kavaa Magwanda ya CDM yanambwaya!

cheko la kinafki :glasses-nerdy:
 
Baba wa watu mbona yuko fiti tu, jana alikuwa akisalimiana na wanakijiji.. Yuko FIT.. mtoa maada nakushauri usitumie sun-GOGO.. sio nzuri kwa macho, nenda kwa wataalam watakupatia miwani bora..
 
kila Kampeni zinavyoendelea ndio afya yake inazidi kuzorota tokea kuanza kwa kampeni, je kashindye anaumwa au nl mawazo? wana CHADEMAMA mtujuze.
tatizo CCM wagumu wa kuelewa na wepesi kusahau - mwaka jana wakati wa kufunga kampeni zenu jangwani ilikuwaje? hali ya afya ya jamaa yenu ilikuwa tete hadi ikafikia ya ---- aiseeee --- aiseee ---- aiseeeee

achana na kashindye, yupo ngangari kinoma - kama unabisha mpeleke shemeji then after 3 days kachukue majibu clinic.. ha ha ha ha
 
wewe ndo unaumwa kuuliza hicho kitu ni kuumwa,lakini tusubiri mpaka atakapoanza kuanguka kama jey kei
 
Kero zoote hizi hapa tz na hasa za hapo igunga kweli unenepe. Anafikiria namna ya kuwatoa kimasomaso wanaigunga atanenepa saa ngapi. Kunenepa ni kuridhika...... Je hapa tzie una nini mpaka uridhike si wezi tu ndo utaona wamevimbiana wao wanadhani wamenenepa. Kashindye yuko poa
 
hahahahah...huna hoja ata akiumwa what is the matter. we huumwagi? deal na vitu vya maana sio maisha ya watu. upashunaku huo
 
Back
Top Bottom