Hivi karibuni Wenger wa Arsenal hamuoni Sammata?

takangumu

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
244
358
Kumekuwa na shida ya mshambuliaji kwenye timu ya arsenal kiasi cha mashabiki kukata tamaa na kukondeana.
SAMMATA sasa ni mfungaji wa kimataifa ana mechi ya tatu mfululizo anatupia tena mechi muhimu nyie mashabiki lialia tafuteni njia mumpelekee jina kibabu mpone.
 
Hizi ratings Wenger angezipitia
1472194296282.jpg
1472194300436.jpg
 
Aisee hizo takwimu mbona kama zinadunisha sana Giroud? Hapo kwenye kupiga vichwa kama kapata 5.0 maana yake ndio basi tena. Awali nilijua hiyo ndiyo silaha yake muhimu.
 
Samatta yuko juu..

Ila kwenye creativity wanamuonea.. Kazidiwa na giroud shenz hawa.. Hata dribbling samatta yuko mbele zaid
 
Aisee hizo takwimu mbona kama zinadunisha sana Giroud? Hapo kwenye kupiga vichwa kama kapata 5.0 maana yake ndio basi tena. Awali nilijua hiyo ndiyo silaha yake muhimu.
Mkuu samatta ni mpigaji vichwa mzuri tu.. Nmeshuhudia magoli yake mengi tu ya kichwa akiwa mazembe
 
Mkuu samatta ni mpigaji vichwa mzuri tu.. Nmeshuhudia magoli yake mengi tu ya kichwa akiwa mazembe

Nilikuwa namaanisha Giroud wamemshusha sana. Uzuri wake uko ktk kupiga vichwa zaidi, angalau alitakiwa apate 6.5 kwenye hiyo category.

Of course Samatta, anafunga kwa staili zote, kichwa, miguu yote miwili, mawe, ku-press, anaweza kuutoka msitu wa mabeki, n.k . Dogo ana kipaji kikubwa cha ufungaji.
 
Moja ya vipaji vinavyojitambua ktk nchi yetu! Cha kufurahisha ktk uzi huu, wale wenye "roho za kitanzania" hawajapita huku!
 
Nilikuwa namaanisha Giroud wamemshusha sana. Uzuri wake uko ktk kupiga vichwa zaidi, angalau alitakiwa apate 6.5 kwenye hiyo category.

Of course Samatta, anafunga kwa staili zote, kichwa, miguu yote miwili, mawe, ku-press, anaweza kuutoka msitu wa mabeki, n.k . Dogo ana kipaji kikubwa cha ufungaji.

Kama vile King Messidona etii
 
Back
Top Bottom