Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

umeshaleta fitina 'like' imekimbia.
kwa kuwa umeonyesha nia mbaya ya kusoma pm,
sijui kama kamati itakufikiria pamoja na jitihada zako zote
za kubeba kitendea kazi mapajani kitaendelea kukufyonza tu nguvu za naniii.

Nikipewa hiyo napiga marufuku kuingia JF Via Mobile. Afu ntalazimisha nipewe access ya kusoma PM zote za wanaJF MMU na chit chat. Vinginevyo JF inafungiwa.
 
hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
Bila kumsahau Shost.....mamaa wa jukwaa
 
Nikipewa cheo ntaanza na kumsamehe aliyenipiga BAN tar. 06-12-2011 hadi kuwa huru tar. 06-01-2012.

Yani ntamsamehe na ntajaribu kumsahau!
 
hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.
So nafasi hiyo nipewe pls.
 
na alivyo kuwa kiwembe sijui kama
mtafanya kazi,
safari zitazidi hata zile za vascodagama.
Hapo nani atamruhusu waambatane kama kumbikumbi?
Hujui mi ntakuwa waziri wa Mambo ya nje so kokote aendako nitakuwa nae....
Asprin simwamini kabisa
 
ungepewa wizara ya ulinzi itakuwa nzuri kwako
japo inagombewa, itabidi uanze kuandaa bahasha,
ambazo mimi waziri wa fedha nitakupa vijana kama akina mwali,
eliza wa tegeta, mpoleee na wengineo ili waanze kugawa kwa wajumbe mapema.

Nikipewa cheo ntaanza na kumsamehe aliyenipiga BAN tar. 06-12-2011 hadi kuwa huru tar. 06-01-2012.

Yani ntamsamehe na ntajaribu kumsahau!
 
Wizara ya Udaku,Majungu na Ulevi
Waziri: Bagah
Naibu: Mtei One
Katibu: Smiling Saint

Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo

Wizara Ya Kudunga watu Bann
Waziri:............
Naibu:.............
Katibu:............

Wizara ya Jokes
Waziri: Excellent
Naibu: SI Unit

Wizara ya Wanawake na Wanaume(Wote)
Waziri: Kongosho
Hana Naibu wala Katibu

hapa nakata rufaaaa!!

1. hiyo wizara uliyoniweka ni sawa na kusema Waziri Six, Naibu EL, Katibu Slaa!!! wapi na wapi?
2. hao watatu sijui utakuwa ni utatu upi huo?
3.kwenye udaku simo labda hii wizara kama akipewa Excellent, Mentor na Jaguar hawa ni manguli wa jukwaa la jokes kule!
 
Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.
So nafasi hiyo nipewe pls.
Tuachane na hayo mkuu,mimi nataka samaki sato na kambare wale wakubwa vp watapatikana?
Na ntawapata kwa utaratibu gani?I'm serious mkuu!
 
Aprini awe waziri wa maji,
ila tahadhari wasije mmaliza mgongo.

Hapo nani atamruhusu waambatane kama kumbikumbi?
Hujui mi ntakuwa waziri wa Mambo ya nje so kokote aendako nitakuwa nae....
Asprin simwamini kabisa
 
hapa nakata rufaaaa!!

1. hiyo wizara uliyoniweka ni sawa na kusema Waziri Six, Naibu EL, Katibu Slaa!!! wapi na wapi?
2. hao watatu sijui utakuwa ni utatu upi huo?
3.kwenye udaku simo labda hii wizara kama akipewa Excellent, Mentor na Jaguar hawa ni manguli wa jukwaa la jokes kule!
HAhahahahaaaa mi sielewiiiiii gawaneni wenyewe...mngoje Bagah na Mtei mkae kama wizara mi simo tena
 
Hahahahaaaaa aisee jela ndo maana Malaria Sugu wamemdunga bann ya kudumu aiseee dah
Ivo eee!sijasoma mambo yake siku nyingi,
Kule anapamudu mme wangu tu hata sijui huwa anachezaje na lile jukwaa!!!

Mie siku hizi nimeweka kambi cht chat hata mmu siku hizi nimeadimika kidogo nimenogewa na huku lol!
 
kwa huu mpangilio mkianza kushindana kimavazi lazima siku moja mtadundana
tu humo ofisini.

Mam,mie nishapewa hii hapa na nimeikubali ww unaonaje hapa!

Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
 
Tuachane na hayo mkuu,mimi nataka samaki sato na kambare wale wakubwa vp watapatikana?
Na ntawapata kwa utaratibu gani?I'm serious mkuu!
Samaki wengi mkuu!
Wabichi au wakavu?bcoz nna private car ya ofisi ambayo nilikuja kuichukua naweza nikakuletea wakiwa fresh becouse ntawagandisha barafu,pia mm ndio huwa nasafiri nao kwa utaratibu huo na wanafika dar wakiwa fresh kabisa.
We si upo dar mkuu?nijulishe unataka wa bei gani na nikifika ndio utanirudishia pesa yangu,sikuletei kibiashara,but nakuletea kama mwana jf mwenzangu.
 
Back
Top Bottom