Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Kuna wizara ya yale mambo yetu ya kikubwa?I mean mapenzi?kama ipo nipeni mie,nakuhakikishieni ntamuenzi Kanumba kwa 100%!
 
wote watoke nje tuna outsource uongozi
rais-nairoberry
makamu-mwembetayari
waziri mkuu-livefire
mwenyekiti wa kamati ya kutafuta viongozi toka nje ntakuwa mimi
 
Kuna wizara ya yale mambo yetu ya kikubwa?I mean mapenzi?kama ipo nipeni mie,nakuhakikishieni ntamuenzi Kanumba kwa 100%!
We msafiri wa Zuberi usharudi?Ebu nipe contact nur ya shemeji nimsalimie na nimuulize lini atakua na likizo nyingine ili nami nisafiri nae!
 
Mi nitakuwa first lady, nakaa ndani tu nampikia prezidaa, kazi yangu kujiremba tu,na kumpa ushauri wa maana kiongozi
 
We msafiri wa Zuberi usharudi?Ebu nipe contact nur ya shemeji nimsalimie na nimuulize lini atakua na likizo nyingine ili nami nisafiri nae!
Sijarudi mkuu,but nataraji j,mosi inshaallah.Si unajua tena namsubili wife tu be amalizie japo ka wiki1 ka likizo kwao?so j,mosi ntaingia nae Dar na ntampeleka geto moja kwa moja mkuu.
 
hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.

Kuna wizara ya yale mambo yetu ya kikubwa?I mean mapenzi?kama ipo nipeni mie,nakuhakikishieni ntamuenzi Kanumba kwa 100%!
 
Afadhali aisee otherwise watu watafukuzwa kazi sana kwani watabishana mpaka wataharibu kiibod za komyuta zao kwan itakua km wanaonana live!
Hahahahahaaa siku hizi nimegundua jukwaa lile ni la kupita tu na sikuweka makazi
 
Nikipewa hiyo napiga marufuku kuingia JF Via Mobile. Afu ntalazimisha nipewe access ya kusoma PM zote za wanaJF MMU na chit chat. Vinginevyo JF inafungiwa.

Wizara yoyote utakayopewa mi katibu wako!
 
Back
Top Bottom