Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Yaani kuongozwa na Bishanga kila wakati lazima utembee na Painkiller
 
Last edited by a moderator:
laiti mngenipa kuwa President ningesafisha cc, mmu na upande ule wa gaza wenye matatizo makuu 5 naombeni kura zenu mwaka 2015 niwanie kiti hicho msininyime haki yangu ya uzawa hapa

Nawakilisha

cc: Filipo
hebu imagine JF ingekuwa ndo serikali ni nani anastahili kuwa prezdaa, makamu wake, prime minister, spika, waziri wa fedha, ulinzi?
Karibun wadau
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom