Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Pasinge tosha..Kila mtu mjuaji kila baada ya kutangazwa baraza la mawaziri....wanapiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu...bunge linavunjwa..wanachagua tena so hakuna ambacho kingefanyika zaidi uchaguzi na maandamano.....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom