Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jk unajua adha ya nyumba za kupanga ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaNanii, May 8, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akilihutubia taifa katika maadhimisho ya Mei Mosi , JK alilaani tabia ya watumishi wa umma ambao kila wanapohamishiwa huwa wanajenga nyumba ya kuishi. Hivi namuuliza JK anajua adha ya nyumba za kupanga ?
   
 2. King2

  King2 JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini asijue! Wakati na yeye amekulia kwenye maisha ya Dhiki.
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,421
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....kwahyo ndo mjenge nyumba kila kituo kipya cha kazi....!?? UFISADI ni janga la kitaifa....
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 26,620
  Likes Received: 938
  Trophy Points: 113
  kwani mara ya mwisho yeye kuishi nyumba ya kupanga ni lini?
   
 6. B

  Baby shangazi Senior Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama uwezo unaruhusu why nisijenge?ntajinyima na kamshahara nijenge hata kibanda tu, mbona wao wanajenga?kila mbuz atakula kwa urefu wa kamba yake
   
Loading...
Similar Threads - Hivi unajua adha Forum Date
Hivi unajua hili toka wa Dr ,SLAA Habari na Hoja mchanganyiko Jun 8, 2015
Hivi unajua hili kuhusu ma' marais duniani Habari na Hoja mchanganyiko Jan 3, 2015
Hivi unajua juu ya hizi picha Habari na Hoja mchanganyiko Aug 12, 2014
Hivi unajua Habari na Hoja mchanganyiko Jul 13, 2014
Hivi unajua aliegundua Eletronic Computer alikuwa ni Shoga!!! Habari na Hoja mchanganyiko Dec 23, 2013

Share This Page