Hivi jk kupitia egypt wakati nchi hiyo inachakachuwa kura za wabunge hii imekaaje?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,422
92,778
Jamani mimi nimeshtushwa sana kusikia JK eti kapita kwa muda Egypt uku wote tukijuwa udanganyifu uliofanyika kwenye uchaguzi wa wabunge, sasa rais wa calibler hii ni muumini wa demokrasia? NATOA HOJA.
 
Back
Top Bottom