Hivi JK hili amepatia?

Jk yupo sahihi kabisa, mfano nakumbuka miaka ya mwanzo wa elfu mbili Mike tyson alikaribishwa kishujaa Uk ilui kukuza boxing. David Beckham ametumika marekani ili kukuza mpira na ligi yao.

haya mambo yanagharama sana na yanaitaji fedha, kama hayatapewa kipaumbele hayatakuwa ng'o....na ndo maana hata mlima kilimanjaro hatuutangazi katika channel za duniani kwa kuwa watu wanamawazo kama yenu ya kuwa ni gharama za kijinga.BADILIKENI.
 
Daah inabidi tu nirudi tena darasani kusoma Tena kwa umakini course ya Advertising.

Only in Tanzania... Rais anaweza kuwa na ratiba mbadala kufurahisha wapiga kUra wake kwa vijimambo vya hapa na pale...tuombe Mungu atakapoamua kukuza muziki wa home ufike Katina masoko ya kimataifa
 
Back
Top Bottom