Hivi JK anaichukulia je hii cartoon?

yeye anachojua kwa vile sio kweli yeye hana habari atakama kaiona..

vipi bado ajaenda kumalizia chenji zake kule serengeti..
 
Ama anaichukulia vice vesa yake?
View attachment 44054
Maana kwa mtu anaefikiria ni zinga la kijembe
Sio kijembe ndivyo ilivyo kwani sio siri kwamba viatu vya uraisi vimemshinda! Kha! Ni bora awe anatembelea mitandao ya kijamii kama alivyokuwa anafanya mwl kuongea na wapishi na pia kucheza bao kupata mawazo ya walalahoi kuliko kutegemea wasaidizi,wanampotosha!
 
Somebody needs to carry the blame for all the faults made before and even now.. Unfortunatly that person happens to be jk..
 
Ama anaichukulia vice vesa yake?
View attachment 44054
Maana kwa mtu anaefikiria ni zinga la kijembe

Eh! kazi kweli kweli.....

nakumbuka December 31, 2005 katika hotuba yake ya kwanza bungeni alisema angevivaa viatu hivi na kama ingetokezea vikawa havimtoshi basi angeweka hata makaratasi kule mbele kwenye vidole ili vimuenee!!!!!

kaamua kuvibeba kabisa, tehe he he...... kama mtoto ambaye hajazoea kuvaa viatu akavishwa viatu siku ya sikukuu kwenda kutembea wakati wa kurudi home akaona viatu vizito akavibeba mgongoni!
 
Of Course kwa alivyo kipanga na mwanafalsa atakuwa anaifurahia sana kwa kueleza uhalisia wa hali halisi.
 
Somebody needs to carry the blame for all the faults made before and even now.. Unfortunatly that person happens to be jk..

Nobody is blaming him for mistakes done by someone else but for his own and own only. And they are plenty of them!
 
Back
Top Bottom