Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

Hivi inakuwaje hawa viongozi wote wa kiafrika wanakunja nne utadhani hawajaacha matatizo huku nyumbani
 
Hivi hakuna njia yoyote ambayo tunaweza kupunguza miaka ya jk? Mie naona miaka Minne iliyobaki Tanzania itakuwa kama sio nchi tena! Jamani kwanini tusifikilie njia mbadala? Kwani lazima amalize miaka yote?

Utashitakiwa kwa treason kwa ushauri huu! Miye naogopaaaaaaaaaaaaaaaaa, naogopa miye- toka lini joggoo wa shamba akawika mjini?(Davos)
 
Amekwenda kuelezea matatizo ya Tanzania kwa wale walioya anzisha kwa makusudi. Wao wanaijuwa TZ Zaidi ya JK mwenyewe. Wanapata feed back ambazo kama ukiambiwa waweza kujinyonga. Wana haki kabisa kuiita TZ tajiri sababu Gold, Platinium na Uranium inakwenda kwao kwa ajili ya kuisafisha. They know how much TZ is worth. Not us.
 
Hivi kwani ilikuwa lazima ajibu kwa kidhungu? mbona mwenzie alikuwa anatumia lugha anayoielewa vizuri then inatafasiriwa
 
Naona vicheche wa CDM wamecharuka na propaganda zao, mtabaki kupiga kelele tu humu JF mwisho mtanyamaza. Hakuna mwenye jeuri ya kuandamani wala chochote.
Kikwete ndio Rais wa Tanzania na ni baba yenu wote nyie humu.
 
Unaanza kutoa povu eh haya furika ufurahi
 
Upupu ule ule? Acheni chuki bana, kama kweli mmedhamilia subirini 2015 muingie ulingoni tuwachague.
 
Naona vicheche wa CDM wamecharuka na propaganda zao, mtabaki kupiga kelele tu humu JF mwisho mtanyamaza. Hakuna mwenye jeuri ya kuandamani wala chochote.
Kikwete ndio Rais wa Tanzania na ni baba yenu wote nyie humu.

Sijaona post hata moja inayosema Kikwete sio rais wa JMT, so you are absolutely out of mind. Wanachosema ni ile level ya incompetence inayojidhihirisha kwake for the world to see.
 
Sijaona post hata moja inayosema Kikwete sio rais wa JMT, so you are absolutely out of mind. Wanachosema ni ile level ya incompetence inayojidhihirisha kwake for the world to see.

Andamaneni basi mmuondoe, maana unachoambiwa kwamba yeye ndiye Rais pamoja na hayo unayoyaona unabisha.... 2015 is not too far guys msiiumie vichwa kila siku JK! JK! haisaidii. Humu ndani hakuna thread za kutujenga ila za JK tu wanna go out of this damning JF.
 
Hii ni mara ya pili anatuaibisha kwenye mikutano ya kimataifa.. hivi ni kwa nini?????
 
What we do tell people about who we are. Hatufagiliani ila matendo yetu ya kila wakati ndo yanaandika historia zetu. Mzee Kawawa, JK Nyerere na wazee wengine wengi walipostaafu hawakuhangaika kutafuta majumba ulaya na marekani wakimbilie huko.

Walijua mkataa kwake ni mtumwa. Tumetumia muda mwingi sana kuwa empress wathungu, tukanunua hata majumba nchi kwao na bado karibu kila wakati tunaficha fedha zetu ambazo mara nyingi hatuzipati kwa uhalali kwenye mabenki yao pia.

This trend is a wake up call. Kama hatufanyi mambo vizuri nyumbani, tukitegemea mwisho wa siku tutapata hifadhi huko baada ya kuharibu tunajidanganya. the guys would petition for us to be accountable for every single penny we have misused and in the end they would send us back here.

Kwanini hatutaki kuelewa kwamba for them the only thing they care about is permanent interest....
 
Back
Top Bottom