Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

JK reflects the way we tanzanians are... weak, out of place and lack seriousness and passion on what we do

Toa mfano wa kipi hakusema vema kwenye mjadala huu word to word, mimi naona amesema vema bila tatizo lolote..

Watu kama nyie ndio hawezi kumsifia mtanzania mwenzao lakini utaona wanapenda kusifia wageni..ni maradhi tu ya wachache..siyo wote..
 
Utangulizi
Namsifia sana Salim Ahmed Salim, JK Nyerere, William Mkapa, Anna Tibaijuka, maprofessa wengi walio ndani na nje ya nchi, many members wa JF nk

nOW, he didnt show seriousness (was vague, non specific and didnt share his tactical)... he dwell on the past, colonial hangover etc..., he was weak (struggling to deliver simple message), , he was not serious (chekacheka)

ZENAWI WAS SERIOUS, ZUMA WAS NOT PREPARED, JK WAS LOST, AND AS UNSERIOUS AS MY PRESIZAA, I DIDNT LISTEN TO THE FRECH SPEAKING LEADER
 
Why would anyone, anyway take seriously someone of his caliber, uttering downright ignorant statements such as "Thank you very much, Moderator, Prime Minister , Gordon Brown", while only a couple of days earlier, he was photographed shaking hands with UK Prime Minister, David Cameron? Dude's a clown, if not some con artist. That's about it.
i wish i didnt see the interview!!!

OMG....
 
Utangulizi
Namsifia sana Salim Ahmed Salim, JK Nyerere, William Mkapa, Anna Tibaijuka, maprofessa wengi walio ndani na nje ya nchi, many members wa JF nk

nOW, he didnt show seriousness (was vague, non specific and didnt share his tactical)... he dwell on the past, colonial hangover etc..., he was weak (struggling to deliver simple message), , he was not serious (chekacheka)

ZENAWI WAS SERIOUS, ZUMA WAS NOT PREPARED, JK WAS LOST, AND AS UNSERIOUS AS MY PRESIZAA, I DIDNT LISTEN TO THE FRECH SPEAKING LEADER

Sijui unaongelea forum gani kama ni hii hii basi JK ameongea vema tu bila wasiwasi. ameongelea mambo matatu key issues soma #213; Otherwise hizo zingine hazipo kwenye hii clips ni yako
 
Tatizo humu JF wamejaa haters wa JK ...hivi hamuoni kweli points alizoongea rais wetu???lazima muelewe JK alishawahi kuwa FAM for long time kwa hio hababaiki ni hii mikutano ndo maana aliongea with confidence.. imagine rais angekuwa Wilbroad or Freeman c wangechekesha sana kwikwikwi...hebu tutoe credit sometimes....haters.

Kwenye red nina wasiwasi na uwezo wako wa akili.
 
Davos, business as usual. The annual talk fest is going stronger while the world economy isn't........... Pole JK kwa kuchemka na madesa yako.........
 
Nasema hiviii: Ndiyo maana kati ya R. Odinga, J. Zuma, M. Zenawi, ni JK pekee yake alionekana akipitia some ready-made notes wakati akichangia mjadala. No wonder he did'nt make any sense at all, maana inaonekana hakujiandaa na swali alilouliza "Prime Minister" Gordon Brown pamoja na jitihada zake zote za ku-cheat na vikaratasi vyake alivyokuwa akisoma.
sio kwamba alikuwa anacheat JK points zake zilikuwa deep more than zenawi,zuma na odinga....hivi hukumuona zuma nae alikuwa na kijikaratasi kakipakata????jamani hebu tumpe credits rais wetu...watanzai hatujipendi wenyewe ndo maana mambo mengi yanatushinda...haters.
 
Hii ni mara ya pili anatuaibisha kwenye mikutano ya kimataifa.. hivi ni kwa nini?????

Sio competent, hafanyi jitihada yakujinoa-kujiandaa kwa hii mikutano ilihali anajua ni mzito upstairs, anapenda kutembea/kusafiri hivyo hataki kutuma mwakilishi, and finally he does not care. (At least this is how I see it).
 
sio kwamba alikuwa anacheat JK points zake zilikuwa deep more than zenawi,zuma na odinga....hivi hukumuona zuma nae alikuwa na kijikaratasi kakipakata????jamani hebu tumpe credits rais wetu...watanzai hatujipendi wenyewe ndo maana mambo mengi yanatushinda...haters.

Hapana, naona ni vizuri tuseme ukweli; kuficha ficha ndio kumetufikisha hapa tulipo. Ukitazama hiyo clip wakati Zuma na Odinga wanaongea; JK alikuwa anaandika rough notes. Interestingly mambo mengi aliyochangia ni exactly yale yale aliyosema Odinga, tena kuna point ameitoa kwa mtiririko huo huo. Sasa sijui ni coincidence? JK ameongea maneno mengi lakini no flesh; wenzio wameongea brief lakini kuna some meat on the skeleton. However I must say; overall wote hawajanifurahisha sana; lakini JK na yule anayeongea kifaransa naona kama wamechemsha zaidi. Kuambiana ukweli ni muhimu kwakweli, Jk ameongea kama vile mtu mgeni kabisa asiyeijua nchi vizuri (hajaeleza matatizo, mafanikio, na changamoto za Tanzania ya sasa).
 
kweli common sense is after-all not common. Yani hata hiyo video clip ingekuwa haina sauti body language inatosha kuonyesha kwamba jamaa anajikanyaga. Toka mwanzo anaonyesha kwamba yuko very absent minded and nervous, possibly coz hayuko ktk comfort zone yake ya wazee wa darisalama.

Mkuu hii inatokea unapokuwa hujui au huna uhakika wakujibu swali. Kuna watu wanaona JK amefanya vizuri sana hapa na siwalaumu. Kwanza; with all the respect -inawezekana ndio uwezo wao wakufiriki (if you do not taste your neighbor's food; you would think your mother is the best cook in the world). Hizi shule zetu zinachangia sana ku-crame na sio zaidi ya hapo. Usipokuwa mjanja wakutafuta other sources kuongeza knowledge una-lost. Kuna wengine wanatetea kwasababu wamelewa itikadi/uswahiba, na wengine ni basi tu wako kwenye denial. Ni kweli pia wengine watamkosoa JK kwa chuki lakini yeye ndio anagawa rungu lakumpigia. Binafsi naona makosa ya lugha sio big deal kama kungekuwa na substance kwenye michango yake. Yaani JK was all over the place. Aaah.
 
Hapo kwenye bold, nadhani wewe ndio hukumwelewa. Alichosema ni kwamba utafiti uliofanyika ukizijumuisha WB, IFM, waliambiwa wanahitaji movement ya magari 150,000 kwa siku ili barabara iweze kujilipa kama mwekezaji binafsi atajenga. Lakini idadi hiyo ya magari haipo. Kwa hoyo inakuwa vigumu private investor kuwekeza kwenye sector ya barabara. Badala yake ni serikali pekee ndio imebaki kuwa mwekezaji, na hapo ndipo kunahitajika ufadhili kutoka nchi wahisani.
Mbona wazungu walijenga hizo barabara kupitisha malighafi?
Jiulize...
 
Back
Top Bottom