ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,649
- Thread starter
- #61
jamani hebu someni vizuri huo uzi. Nimepitia tena huo uzi sijaona mahali nilikosema huwa napanda kila siku, sasa hoja hii sijui imezaliwa vp. Kwanini watu hamtaki kusoma uzi wote ndo uje ulete comments zako. Yaani mtu unaosma topic tu, unaanza kushusha vitu kwa hisia, sio vizuri