Hivi una akili sawaswa ndugu? uheshimiwe kwa gari!! kweli!!?? Mmezaliwa kwenye familia gani nyinyi viumbe?
Hongera kwa kuanza kujenga kwa sasa, hilo ndo muhimu mkuu..Gari utakuwa nalo tu isikutie presha..ila kiukweli huyo jirani hilo swali alilokuuliza ni tata sana ukizingatia yeye ndiye mtoa lifti..inabidi uanze kubanda basi kuanzia kesho, hata taxi mara kadhaa ukiwa na emergency au umechelewa job maana dodoma kamji kadogo ndyoko na siyo ghali vilee.
Haya karibu lunch tupo maeneo ya rose garden hapa dodoma..jioni mara nyingi lazima nipitie chako ni chako kwa kukuz!!
Ukipanda gari hiyo tena utakuwa unakula matapishi yako!Mkuu ndyoko naomba nikuulize "je utalipanda tena gari la jamaa au ndio imetoka hiyo"
fish pia situmii nawashwa mwili pia sipendi harusi yake labda dagaa.mimi ni kuku tumhh mhhh mhhh!! Wewe utakuwa ni vigiteriani, anyway kesho nitakualika masaki didi's pub kwa ajili ya lunch ya mishikaki ya samaki na chips. Sea food is good for u?
bado sijajua why alitoa maneno yale.
Hii mikuku yenyewe inayowafanya watoto wa kiume kuota maziwa!!?? basi ujitahidi uwe unapata kuku wa kienyeji.fish pia situmii nawashwa mwili pia sipendi harusi yake labda dagaa.mimi ni kuku tu
Form 4 Graduate & am very proud of it! Hatukuwa na shule za kata wakati Nagraduate, ilikuwa ni enzi za Sheikh Ally Hassan Mwinyi= Wote tukiwa matajiri nani atamuomba mwenzake?
Sometimes umiza kichwa usichukulie mambo kirahisi mkuu au shule ya kata?
kienyeji mkuu.mchana nakula maharage na njegereHii mikuku yenyewe inayowafanya watoto wa kiume kuota maziwa!!?? basi ujitahidi uwe unapata kuku wa kienyeji.
Aisee kwa kweli ni dalili ya kushoshwa na kuomba kwako lift,
Lakini huyo nae anadhani gari ni kipaumbele kwa kila mmoja,
Naamini ni limbukeni wa magari maana hata kama angekupa lift mwaka mzima bado alitakiwa kujua kuwa kila kitu kinafanyika kwa mipango.
Kwa kifupi huyo bwana amekosa Busara na zaidi inawezekana hana maarifa.
Pole sana Mkuu.
fish pia situmii nawashwa mwili pia sipendi harusi yake labda dagaa.mimi ni kuku tu
wapewa lift wanasahau kitu kimoja. siku moja moja mtoa lift anahitaji privacy yake. awe tu peke yake garini mwake awaze na kuwazua mambo yake au awe peke yake na spouse wake wazungumze ya kwao, waimbiane, wasemane nk. sasa ikiwa kila siku mtu wa lift yupo inageuka kutoka msaada kuwa kero kwa watoa lift
Hivi ukusikia Msasani kuna Beach Mavi!!Pandisha soko mamaaa! Afu muambie didi's kuna mavumbi ya lami akupeleke ufukweni!